Tanzania’s shrinking Presidency

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Wasalaam,


(Tanzania’s shrinking Presidency)


Kwa wale amabo hawajasoma The East African, kulikuwa na hii cartoon. Iko in pdf na jpge


Vipi, inasomekaje!?
 

Attachments

  • cartoon.jpg
    cartoon.jpg
    42.1 KB · Views: 94
  • cartoon.pdf
    52.6 KB · Views: 101
Heshima na uzito wa NAFASI ya URAIS imekuwa ikipungua toka Julius hadi kufikia tulipo sasa ni kama imekuwa SISIMIZI...kwa size na uthamani/umuhimu wake..Ndivyo nilivyoelewa cartoon ya GADO...
 
Kwani Gado si just a cartoonist kama kabwela na wengine. He is entitled to his opinion and there is no way his views can be the basis for any conclusion. Hawa watu wamezoea kuona udikteta na wanadhani huo ndiyo utawala bora. Hizi siyo zama za imperial presidency bwana!
 
Hiyo sasa ni choko choko kwa ****** wetu. Mbona noma yaaani haonekani kabisa. Vibaya hivyo Kado. Baada ya ****** Rais atakuwa Nnape Nnauye kama siyo Bashe ndo itapotea kabisa
 
Back
Top Bottom