Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smatta said:Si mjenge ukuta basi, kisha tuone nani atakuwa wakwanza kujaribu kuvuta kuta hizo. You should hear your self talking.
Smatta,
..nimetoa mfano wa USA kujenga ukuta kule Arizona kwenye mpaka wake na MEXICO kuonyesha kwamba siyo kila integration inahusisha free movement of labor, abolishment of national identities, and free access to land.
..hizi integrations zina challenges zake, na serikali ya Tanzania inavyowaburuza wananchi ni as if tukishaingia huko then this place will be like heaven. hata uchaguzi wa Marekani suala la NAFTA lilizungumziwa sana and it negative effects on the US working class.
..in short, there is a need for an OPEN and HONEST debate on the issue of EAC.
Si mjenge ukuta basi, kisha tuone nani atakuwa wakwanza kujaribu kuvuta kuta hizo. You should hear your self talking.