Tanzania's Gold-Someones Treasure

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Very interesting reading.

Tanzania's Gold-Someones Treasure 2008
 

Attachments

  • NCA-GOLD MINING ADVOCACY IN TANZANIA-Tanzania's Gold-Someones Treasure 2008.pdf
    1.2 MB · Views: 60
Very interesting reading.



Tanzania's Gold-Someones Treasure 2008


Lol! Hii ripoti inatia huzuni iliyochanganyikana na uchungu. Yaani mtu unakuwa mtumwa na mikimbizi ndani ya nchi yako huku viongozi wako uliowapigia kura wakituma FFU kuja kuhakikisha kuwa wananchi wananyanyaswa ipasavyo kisa tu wao wanapokea bahasha kila mwisho wa mwezi. Oooooh GOD of heaven hear our cry and restore our beautiful country.
 
Check vizuri hii picha
1. Mama amebeba jagi anatafuta maji ktk eneo kame
2. dama amekonda na amekuwa mdogo kama mbwa mgonjwa
3. uzio wa nyumba mh!
3. Nyumba (Mungu tusaidie)
5. Nyuma ya nyumba kifusi alichoachiwa baada ya barrick kutoweka na dhahabu
6. mazingira yameharibiwa, hayatamanishi tena


Mungu tazama watu wako!
 

Attachments

  • New Picture (2).bmp
    1 MB · Views: 40
cha ajabu billions of gold zinatoka hapo kila mwaka lakini 3 km nje ya mgodi hakuna maji wala shule na watu ni maskini kupita kiasi,sijui viongozi wetu wanafikiria nini?dawa ni kuwatoa CCM tuu ndio dawa maana ndio wametuletea shida zote hizi!
 
Hapohapo unaambiwa kuna hawa wanaojiita Kilimanjaro Mining Company, sijui hata exactly ni kina nani ila wanamiliki maeneo(vitalu) vyenye proven potential ya dhahabu kibao. Ligi ya kugombea vitalu sasa inahamia Singida. but who are these people wanaotumiliki???

Lake Victoria Mining Company Receives First Assay Results from Kilimanjaro's Singida "Gold Rush" District, Tanzania

Fri. July 31, 2009

GOLDEN, COLORADO, Jul 31, 2009 (Marketwire via COMTEX)

Lake Victoria Mining Company, Inc. (OTCBB:LVCA) has just received encouraging assay results from Kilimanjaro's Singida "Gold Rush" district. The Company expects to be able to release a consolidated report on this initial group of assays by early next week.
B3548246.8;abr=!ie4;abr=!ie5;sz=300x250;ord=573596604

The final part of the Securities Exchange Agreement between Lake Victoria and Kilimanjaro Mining Company Inc. has been completed today with the submission of the treasury order that will complete the share exchange between the two companies. Upon distribution of the Lake Victoria shares to the selling Kilimanjaro Shareholders, Kilimanjaro will become a wholly owned subsidiary of Lake Victoria.

Upon reviewing the initial assay results, Roger Newell Ph.D, president of Lake Victoria and a seasoned and experienced senior geologist, shared: "In my years of searching for gold, this area has is one of the best I have seen. The signs were there from the first visit that the area was poised to become the next big gold rush. Although we are still verifying and consolidating the initial assay results, we are proud and look forward to sharing them with the public as soon as possible. It is good that Kilimanjaro acted swiftly to secure and then to immediately work to further define the gold potential of this area. It is always exciting to work on a project where the search is easy."

About the Companies
Kilimanjaro Mining Company Inc. is a private metals exploration company focused in Tanzania, East Africa. The company holds a significant number of highly prospective gold and uranium licenses. (www.kilimanjarominingcompany.com)

Lake Victoria Mining Company is working to create another gold mine in the world famous Lake Victoria Greenstone Belt, Tanzania, East Africa. Tanzania produced 1.75 million troy ounces of gold during 2007 and is the 3rd largest gold producer in Africa behind South Africa and Ghana.

Additional information regarding the Company is available on the corporate website at: www.lakevictoriaminingcompany.com.

Disclaimer
This news release may contain forward looking statements, relating to the Company's operations or the environment in which it operates, which are based on Lake Victoria Mining Company, Inc.'s operations, estimates, forecasts and projections. These statements are not guarantees of future performance and involve risks and uncertainties that are difficult to predict, and/or beyond Lake Victoria Mining Company, Inc.'s control. A number of important factors could cause actual outcomes and results to differ materially from those expressed in these forward-looking statements. Consequently, readers should not place undue reliance on such forward-looking statements. Lake Victoria Mining Company, Inc. disclaims any intention or obligation to update or revise any forward-looking statements, whether as a result of new information, future events or otherwise.

SOURCE: Lake Victoria Mining Company, Inc.

Lake Victoria Mining Company, Inc.Roger A. Newell, Ph.D.President303-586-1390info@lvcamining.comwww.lakevictoriaminingcompany.com
 
Yaani hii ni nchi,ambayo viongozi wake hawajui kuwa jukumu lao ni kuwasaidia wananchi,na sio wageni.
 
Yaani hii ni nchi,ambayo viongozi wake hawajui kuwa jukumu lao ni kuwasaidia wananchi,na sio wageni.

Nakujisaidia wao na familia zao pia, sio viongozi wa jamii ni wafamilia zao
 
Nakujisaidia wao na familia zao pia, sio viongozi wa jamii ni wafamilia zao

Haya siyo mageni. Inaonekana Faida kubwa ya madini inaingia ktk akaunti za watu fulani.

Mobutu alifanya hivyo na alipoulizwa hakuweza kutofautisha akaunti yake na ya Zaire!

Je, Rais wetu anaiona tofauti hiyo? anafahamu yeye ni tofauti na nchi? hilo ndo tatizo la viongozi wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom