nchi hii ina viongozi wapumbavu sana...ni sawa na wewe pasco uvue shati lako kisha ulitundike dirishani halafu uzunguke nyuma ya nyumba na kuanza kunyata taratibu kuelekea pale ulipolitundika shati..kisha ukalikwapua na kukimbia nalo....
Will upload the docs shortly...Yani kila saa napita hapa kucheki updates lakini nashangaa Pasco ametuacha kwenye mataa vibaya mno!
Kama umekumbana na "changamoto" mkuu tueleze tu tuache kusubiria
Hatimaye! asante sana invisible na PascoWill upload the docs shortly...
Will upload the docs shortly...
Thanks Invi kwa usaidizi huu, nikumbwa na maswahibu!.Will upload the docs shortly...
Mkuu Halisi, sio siri, kusoma nondo hizo na kuzielewa kunahitaji uwezo fulani, nyinyi wenye uwezo tunaomba, usaidizi wenu kwenye hili, mtutafunie tuweze kumeza!.Wakuu ripoti hii hapa, watu waanze kuogelea.
Huu wote ni upuuzi tu! Hakuna lolote ambalo CAG amelisema ambalo halijawahi kusemwa; hakuna lolote analosema serikali imefanya au kushindwa kufanya ambalo halijawahi kusemwa kabla. Wanaoambiwa ni watu wale wale, wa chama kile kile na Bunge linaongozwa na watu wale wale! Ni upuuzi tu wangetaka kudhibiti matumizi ya fedha wangeshadhibiti mwaka wa kwanza wa JK madarakani!