Tanzania's CAG Report; March 2012

Aliyeapishwa ni shujaa Nassari, japo wafuasi wake wengi wamezuiliwa kuingia humu mjengoni, kumbe ile sare ya Chadema ni marufuku bungeni!.

Baadae leo nitahudhuria tafrija ya bkumpongeza Nasari, nitaiwakilisha jf!

Si mikusanyiko yote ya kisiasa imepigwa marufuku na Dr Nchimbi? au tafrija siyo mkusanyiko?

 
Hasira tena hizo mpaka lunch haipandi eti 5.8b zimechotwa hawajui na nani za kampeni arummeru za kipiga mapanga wabunge wa chadema.
 
wamechukua vijisenti 5.8 billion walivitumia kule Arumeru nini? au ndo posho ya jaji aliyemhukumu Lema?Mi sishangai huko tudogo maana zisizojulikana ndo nyigi zaidi kumbuka leo waziri mkuu bungeni ameweka wazi hali si shwari tufunge mikanda zaidi sasa sijui kama tutapona heri ya kanumba ameshapumzika sisi tutakiona cha mtema kuni.Je kwenye kumbukizi ya SOKOINE hawajatenga fungu lolote,Je kw wakuu wa jeshi la polisi na JWTZ?Jueni uti wa mgongo wa nchi yetu sasa ni KODI si kilimo tena.
 
Mimi nachojua hata bajeti yaTanzania huwa inasowa kukamiisha ratiba tu.Hakuna financial discpline Ndioa maana
  • Hata bunge lenyewe liliomba nyongeza ya posho katikati ya mwaka wa fedha .......

Wanaotakiwa kusimamia Finacial dscpine ya serikali (Bunge ) ndio wanaonyesha kutokuwa na hiyo financial dicpine . Huyu akichota na huyu anataka kuchota

Nyuma ya pazia watayamaliza wananachi tumeliwa CAG hana jinsi yeye anatoa report tu
 
Ikipita saa saba mchana ambayo ni time ya lunch, CAG atawajibika kuwaangalia hawa waandishi utaratibu wao wa lunch unakuwaje, na ndio kwenye matukio kama haya, ule uhalali wa sisi waandishi wa habari nasi tuangaliwe!.
!

Ha ha haa lazima "to look after number one" Numero Uno.
hususan kwenye hii nchi ya shamba la bibi

Poa sana mkuu endelea kutujuza (nice one)

nimekuangalia kwa kukugongea like
 
5.8b hizo pesa ni nyingi sana lazima bunge likomae awajibike mtu hapa. Nchi ina matatizo lukuki lakini pesa zinafujwa kama watu hawana akili sasa ni wakati wa bunge letu kuonyesha umakini katika kuisimamia hii serekali chovu.
Wabunge wa CCM hawana ubavu wa kulikomalia hilo, sana sana watayashangilia kwa nguvu zao zote majibu ya kitatanishi yatakayotolewa na waziri mhusika!
 
Mkuu tena ungeweza ungekuwa unatumegea word by word au ungerekodi kabisa ukaturushia audio
 
CAG amezungumzia upotevu wa fedha za serikali maana mwaka jana zilikuwa Trillioni 1 mwaka sijui ngapi. Halafu wafanyakazi wa serikali wanaambiwa serikali haina hela kumbe jamaa huko hazina wanajitafunia tu kodi zetu. Natamani Kagame aje kuiongoza Tanzania hii inachosha sasa pu!!!!
 
CAG report, my foot! What for???????????
Sawa kabisa, ukiangalia kuwa pamoja na ubadhirifu mkubwa wa fedha za wananchi, hakuna yeyote anayewajibishwa, licha ya milolongo ya ripoti ambayo zimetolewa hadi sasa!
 
kama kawaida yao watatafuta uongo na kuizima hiyo hoja hatutaisikia iwapo vyama vya upinzani hawataikomalia.
ifike wakati wabunge wakishindwa kufanya kazi zao basi wananchi wenyewe tufanye kupitia asasi za kiraia .
enzi zile wananfunzi wa vyuo vya juu hugoma kwa mambo kama haya sasa hivi wananfunzi waoga wananchi wengine ndio hivi tunasikia hakuna tunachofanya zaidi ya kulalamika tu inauma.
 
na kazi kubwa ya chama cha upinzani ni kufwatilia mambo yafanywayo na chamam tawala na kukosoa inapobidi watchdog of the rulling party.
isiachie kabisa haya mambo ya natumizi makubwa ya pesa za mtanzania bila kuwawajibisha wafanyao mambo hayo. chma pinzani kikishakuwa rafiki wa chama tawala hakitaweza kufanya kazi hii vyama na asasi za kirai zisiwe waoga wasimame kidete kuyasimamia haya mambo
 
hivi kwa nini JK asipinduliwe huyu...?haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa kipumbavu namna hii bana
 
Back
Top Bottom