TanzaniaOne, Tanzanite and those Tanzanians! Stealing of Natural Resources

Huko TanzaniteOne kutaiva siku si nyingi sana.. msishangae
Tunasubiria, pia ongezea na hii ya duka lao kubwa, liko lile jengo lenye Sanamu ya Mandela pale J'burg, humo ndani hawajasema/kuandika popote kuwa Tanzanite zinatoka Tanzania, wao wanajitangaza ndio the one and only genuine Tanzanite dealer.
 
Huko TanzaniteOne kutaiva siku si nyingi sana.. msishangae

Niliiona mada hii, ila nikaona inataka kufa kimya kimya.
Habari nilizonazo kwa waandishi walioko Arusha kuna moto umeshaanza kuwaka moto. Kama una mawakala uko jaribu kufuatilia.

utabiri wako unaanza kutimia!!
 
Back
Top Bottom