Tanzanians eat rats

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,058
79,075
Tanzanians eat rats




I have no idea if this is the case which place of Tanzania we eat rats
 
Last edited by a moderator:
Hajakosea, take it lightly, kuna makabila Tanzania wanakula hao, kwani wale ndezi si mipanya tu mikubwa ile.
 
samaki n'changa hao mzee (yaani samaki wa mchangani kwa lugha ya wenyewe)
 
Wakambe (moja kati ya makabila ya Mijikenda wa Kenya), staple food yao ni panya na ugali.
 
Bush rats au edible rats ni chakula cha heshima africa magharibi!
 
Panya wana nyama tamu kama ya kuku, epukana na kula nyama nyekundu, kula panya upunguze hasira. Tembelea mkorosho haramu maeneo ya Ndanda
 
Panya wana nyama tamu kama ya kuku, epukana na kula nyama nyekundu, kula panya upunguze hasira. Tembelea mkorosho haramu maeneo ya Ndanda
yes ganja man
Nyama ya panya utamu wake ni kama kiti moto tu . Maana panya hata yeye mwenyewe menu yake anakula kila kitu. ukiseviwa iliyatarishwa na wenyewe ni fresh sana.
 
wapi nitaweza kuipata hii kitu ikiwa imepikwa hapa da?.Ningependa kuijaribu inaonekana ni tamu.
Mi nimesha jaribu nyoka,konokono,nyani na aina nyingi ya wanyama wa porini.
 

Attachments

  • Peru-6-6-11-A.jpg
    Peru-6-6-11-A.jpg
    49 KB · Views: 225
Back
Top Bottom