Tanzanian Student Wins Research Award!

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,331
47,057
untitled-2.jpg

"Emmanuel is a wonderful example of the School's bridge across the oceans--of using the tools of public policy to improve the quality of life and to make a big impact on the world," says MSPP Dean Don Kettl.
Tanzanian Student Wins Research Award | Public Policy, University of Maryland
 
hongera sana kaka, all the best. tatizo letu utafiti unafanyika lakini matokeo hayafanyiwi kazi!nchi inaendeshwa kisiasa zaidi.
 
untitled-2.jpg

"Emmanuel is a wonderful example of the School's bridge across the oceans--of using the tools of public policy to improve the quality of life and to make a big impact on the world," says MSPP Dean Don Kettl.
Tanzanian Student Wins Research Award | Public Policy, University of Maryland

Hongera sana, umeonesha kwamba inawezekana ukivumilia mpaka mwisho kwani kwa kawaida applications nyingi ya hivyo vitu huwa na requirements na maelezo mengi kama baadhi ya benki zetu kwa mtu anayetaka mkopo!
 
Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
 
Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
Unawafahamu wangapi wengine waliopata hiyo award?
 
Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.
Miafrika ndio kama wewe ulivyo. Hatuna utamaduni wa kufurahia maendeleo ya waafrika wenzetu na kuwasifu wanapofanya vema. Hata kama ni kitu cha kawaida but he still did something well.
 
Miafrika ndivyo ilivyo, yaani mnashadidia kama vile hiki ni kitu nadra kumbe hakuna kitu. Awards kama hizi ni kitu cha kawaida mi nashangaa hawa waandishi wa habari waliopotoka.

..acha wivu ***** wewe!
 
congrats broda! Its great achievement not only 4 wining th award but 4 ur initiatives.
 
..acha wivu ***** wewe!

Koba umerudi khe khe kheeeeeeeee ...... ..... nimwonee wivu ili iwe nini? Vipi utakwenda kumsaidia Kagame lini?

Unawafahamu wangapi wengine waliopata hiyo award?

Wapo wengi tu, sasa sioni kwa nini hii ikawa ni story ..... ..... ...

Miafrika ndio kama wewe ulivyo. Hatuna utamaduni wa kufurahia maendeleo ya waafrika wenzetu na kuwasifu wanapofanya vema. Hata kama ni kitu cha kawaida but he still did something well.

Maendeleo gani hayo kama hufahamu wengi tu wanapata hizi awards kwenye vyuo vingi tu labda wewe hufahamu ndio sababu unalimbuka.
 
Congrats man, you deserve kudos...acheni wivu nyie mbuzi wengine. Kwani siku za kuzaliwa ni kitu kipya?...mbona huwa mnapongezana na wengine kufnya masherehe ya mamilioni?

Whoever feels jealous, let them go to hell.
 
Tumsamehe Wacha1 na negativity zake, zitakuwa zimesababishwa na athari za mgao.

Ongera sana Emmanuel, you have made us proud. Keep up the good work.
 
Tumsamehe Wacha1 na negativity zake, zitakuwa zimesababishwa na athari za mgao.

Ongera sana Emmanuel, you have made us proud. Keep up the good work.

Mkuu huku Alaska hakuna mgao khe khe khe kheeeeeeeeee. Kitu cha kusikitisha ni kwamba miaka 50 tangu tumepata uhuru tumewaona kama huyu wanaopata awards na kwenda kwenye vyuo vya uhakika. Achilia mbali huyu anayekwenda chuo tunaweza kusema chuo cha mbuzi ukilinganisha na vyuo vya uhakika. Walikuwepo waliokwenda Havard, Oxford, Cambridge etc. matokeo yake leo tunayaona mikataba mibovu na wanaangalia matumbo yao.

Nani alifikiri au alitegemea rais aliyesomeshwa na pesa za walipa kodi wa nchi hii kama JK angekuwa Fisadi papa? Anaangalia maslahi ya Mafisadi wenzake itakuwa hawa wanaopata ruzuku kutoka nchi za nje? Waliosomeshwa Havard na kwingineko wako wapi leo hii? What about Chenge et al? Wacheni ujuha na muwe true to the needs of the country na sio hii camouflage ambayo mnaipigia chapuo. There isn't any news here unless mnamjenga RA the second ili awachakachue vizuri.

Kuna wengi ambao hawataki maoni ya wengine na hufikiria jambo moja tu kila wanapokuwa na mawazo tofauti na wenzao .... . .. sina haja ya msamaha wako wahurumie wenye mawazo finyu kama yako.
 
Mbona hakuna jipya hapo,kuna wa2 kibao 2 hapa bongo wanawin hzo mambo tena kwenye vyuo vya maana..
 
Back
Top Bottom