Tanzanian student jailed for attempted rape in UK

Kuna lecturer mmoja wa UDSM na yeyey yalimkuta masahibu kama haya alipokuja kusoma PhD yake. Mwanaume kiwembe hakuna mfano na mpaka leo hii hajaacha. Alimbaka binti hapa marekani maana binti alisema NO akafikiria ndiyo yale ya 'niangusage zambi zako mwenyewe'.
Uzuri kulikuwa na strong mshikamano wa wanafunzi wa Kiafrika, wakafanya namna bwana mkubwa akaweza kutoroka mkono wa sheria na sasa yuko DSM kwa raha zake.

Ila ndio hivyo hawezi thubutu kuja USA hata kwa kulazimishwa!
 
Na wale wanaorukia Mbuzi jee? Hawa nao wana excuse gani?

These people are just sick! There is not any other explanation.

Kisura ukiwaambia ni "sick" unawapa excuse.. mgonjwa halaumiwi! These people are pure criminals... maana kama ni ugonjwa basi wengi wanaweza kujikuta wanaugua..
 
Kuna lecturer mmoja wa UDSM na yeyey yalimkuta masahibu kama haya alipokuja kusoma PhD yake. Mwanaume kiwembe hakuna mfano na mpaka leo hii hajaacha. Alimbaka binti hapa marekani maana binti alisema NO akafikiria ndiyo yale ya 'niangusage zambi zako mwenyewe'.
Uzuri kulikuwa na strong mshikamano wa wanafunzi wa Kiafrika, wakafanya namna bwana mkubwa akaweza kutoroka mkono wa sheria na sasa yuko DSM kwa raha zake.

Ila ndio hivyo hawezi thubutu kuja USA hata kwa kulazimishwa!

Ina maana hawa wanafunzi wa kiafrika waliamua kushikamana na fisadi ili kumlinda au ndio undugu wenyewe maana tusije tukaanza kuhamia maeneo ya karibu karibu. Nilidhani walimtosa kama bangusilo kumbe walimsaidia itimke.. I can stand though.. shoot...
 
Hapana Kada, huyu akae huku huko ndani. Miezi 27 ni muda mzuri amepewa na wa kutosha kutafakari his purpose in life.

Akitoka huko atakuwa na heshima kwa wanawake na maamuzi yao...!!!
 
Kuna lecturer mmoja wa UDSM na yeyey yalimkuta masahibu kama haya alipokuja kusoma PhD yake. Mwanaume kiwembe hakuna mfano na mpaka leo hii hajaacha. Alimbaka binti hapa marekani maana binti alisema NO akafikiria ndiyo yale ya 'niangusage zambi zako mwenyewe'.
Uzuri kulikuwa na strong mshikamano wa wanafunzi wa Kiafrika, wakafanya namna bwana mkubwa akaweza kutoroka mkono wa sheria na sasa yuko DSM kwa raha zake.

Ila ndio hivyo hawezi thubutu kuja USA hata kwa kulazimishwa!

Bimkubwa, umeniacha hoi na "niangusage zambi zako mwenyewe"... This made my day!
 
Janejo,

Hii habari ya 'niangusage' nilikuwa namsikia shemeji yangu (RIP) akiwatania housegirls (HG) wangu waliokuwa wanatoka mkoa wa Iringa.

I never understood alikuwa na maana gani maana na yeye huyo shemeji yangu alikuwa 'chupi chini'.

Nikamwomba mtu akaniambia kina dada wa Iringa hupati shida ya kuomba vyombo. Mwanaume akitema cheche zake basi jibu mara nyini ni wewe niangusage (yaani wewe niangushe tu). Yaani ujifanye umenibaka design ule vyombo.
Na neno la zambi zako mwenyewe ndio utetezi wao kuwa hata mkifanya mapenzi yeye hana dhambi wewe ndio mwenye dhambi.

Yaani nilipoelewa maana yake nilimpiga stop shemeji yangu. Maana alikuwa akiwaambia hivyo wanabaki kucheka. sijui walikuwa wanaangusagana wenyewe. Ni siri ajuaye Mungu sasa
 
Shhhhh! NN mbona unataka kunipiganishia watu...

Bimkubwa..nilikuwasijaelewa hili la Niangusage...yaani ilipoclicknimecheka hadi masikio yanauma..
 
Vipi lakini yule Mpalestina....kilieleweka au familia yake walileta za kuleta?
 
My God! Hapa kuna mtu nae huwa anamtania huyu binti hapa ndani the same words lakini sijaweza kujua ni nini! Siku zote nafikiri ni salamu ya aina fulani! Thx Bimkubwa. Japo kucheka nimecheka sana lakini nafikiri itabidi nami nitoe katazo za utani huu nisije nikaachiwa kichanga humu ndani!
 
Originally Posted by YournameisMINE
...kuna mshkaji wangu mmoja mTZ kafungwa toka 2002..anachezea miaka 20 huko daytona, FL kwa kesi kama hii! halafu miezi michache baadae mtoto mmoja wa waziri wa zamani akadungua kabinti ka kitasha ka miaka 13, akawa na kesi..lakini kabla hajakamatwa akala zake "mwewe" kurudi Bongo!
...haya mambo magumu sana, yanataka moyo wa kijasiri, maana sometimes unapewa mpaka kula chumvi kama unataka...halafu ooooh NO, BIG FAT NO, hapo ndio baadhi ya ndugu ua wanajisahau na kuharibu mandhari. Huyo mtoto wa waziri ni nani?
 
Yaani my dear, hili la 'niangusage' ni la ukweli kabisa. Yaani hawa ma-HG tunaotoa Iringa tena kutoka kwenye mashamba ya Nyanya, wana mambo kupita kiasi.
Kumbuka kwetu hakuna sexual education and sexuality huzungumziwa juujuu. Basi wao wanaona aibu kusema 'ndio' nataka kufanya mapenzi au hapana sitaki kufanya mapenzi na wewe, wao wanaona kusema 'niangusage' ni neutral ground maana hawawezi kuitwa malaya na hata wakipata ujauzito sio kosa lao bali ni la mwanaume.
Hii inanifanya nikifiria kesi za ubakaji huko vijijini mara nyingi utetezi ni huo wa 'niangusage' sio kwamba nilisema hapana.

Its sad though.
 
Yaani hawa ma-HG tunaotoa Iringa tena kutoka kwenye mashamba ya Nyanya, wana mambo kupita kiasi...

Kumbuka kwetu hakuna sexual education and sexuality huzungumziwa juujuu.

...pia kumbuka kwetu hakuna elimu kuhusu Prejudice and Elitism, ndo maana wasaidizi wa kazi za ndani huzumgumziwa kidharau dharau, kitabaka tabaka, wazi wazi!
 
Originally Posted by YournameisMINE
...kuna mshkaji wangu mmoja mTZ kafungwa toka 2002..anachezea miaka 20 huko daytona, FL kwa kesi kama hii! halafu miezi michache baadae mtoto mmoja wa waziri wa zamani akadungua kabinti ka kitasha ka miaka 13, akawa na kesi..lakini kabla hajakamatwa akala zake "mwewe" kurudi Bongo!
...haya mambo magumu sana, yanataka moyo wa kijasiri, maana sometimes unapewa mpaka kula chumvi kama unataka...halafu ooooh NO, BIG FAT NO, hapo ndio baadhi ya ndugu ua wanajisahau na kuharibu mandhari. Huyo mtoto wa waziri ni nani?

:)
It is not fair.
However, you may get away with rape kama ushahidi wako umekaa vizuri.

Kuna kesi siku hizi zinafanana hivi:
Demu anaenda kuomba kazi mahali.
Jamaa anamfahamisha kwamba hana qualifications. Wakizungumza, jamaa alikuwa akikodolea macho nice titis.

Demu anaondoka, akiwa home anatafakari yaliyotokea.
Kesho yake demu anarudi tena lakini safari hii anamtongoza jamaa.
Jamaa anamdanganya mkewe kuwa anaenda safari kikazi halafu anajimuvuzisha gesti.
Huko gesti, demu ameandaa mtego kumnasa jamaa kwa rushwa ya ngono.

.
 
It is not fair.
However, you may get away with rape kama ushahidi wako umekaa vizuri.

What are you, some unscrupulous lawyer with no morals?
 
Janejo,

Hii habari ya 'niangusage' nilikuwa namsikia shemeji yangu (RIP) akiwatania housegirls (HG) wangu waliokuwa wanatoka mkoa wa Iringa.

I never understood alikuwa na maana gani maana na yeye huyo shemeji yangu alikuwa 'chupi chini'.

Nikamwomba mtu akaniambia kina dada wa Iringa hupati shida ya kuomba vyombo. Mwanaume akitema cheche zake basi jibu mara nyini ni wewe niangusage (yaani wewe niangushe tu). Yaani ujifanye umenibaka design ule vyombo.
Na neno la zambi zako mwenyewe ndio utetezi wao kuwa hata mkifanya mapenzi yeye hana dhambi wewe ndio mwenye dhambi.

Yaani nilipoelewa maana yake nilimpiga stop shemeji yangu. Maana alikuwa akiwaambia hivyo wanabaki kucheka. sijui walikuwa wanaangusagana wenyewe. Ni siri ajuaye Mungu sasa

Hii nayo kama ya hapo juu. Rafiki yangu aliyekulia mjini, alituchekesha sana wakati fulani alivyotupa michapo yake ya kusaka mabinti wakati alipokwenda kwao kijijini. Alimuona binti mmoja, akampenda na akamwagia cheche. Basi kila siku wakikutana, jamaa anamwaga cheche. Jamaa akahisi kimwana tayari ameshaingia line, lakini mbona hamkubalii? Siku moja ikabidi jamaa amuulize, 'Vipi wewe kila siku nakuambia shida yangu lakini hunijibu?' Kimwana kwa aibu kubwa, huku akitafunatafuna unyasi aliouchuma pembeni ya ujia, akamwambia, 'Ukiona nimenyamaza, ujue nimekubali!' Jamaa yangu alisema alibaki mdomo wazi, hakuwa na zaidi la kusema.
 
Back
Top Bottom