Tanzanian Mining Expert Appointed General Manager of African Barick Gold Mine

I congratulate Rweyemamu for this appointment. What I do not understand is that, I was told Tulawaka's mine life was to the end by June this year. What is happening?

It was suppose to be close by 2010 that was open pit later they decide to go for underground where there high grade of gold. Resulute was suppose to be close 4yrs ago later they discover satellite deposit that why they still there . My friend gold is still there underground in tulawaka. They wanted to close because it was not economical do mine according to Barrick gold corp canada which they are system is to looking for huge deposit like pacua rama. When transformation was done and form new unit/company called ABG that is when system and continue mining what ever left on the ground (Underground).Lot of things going on in mining industry they cant afford to close the mine and left 2M oz of Gold underground while they have everything place to mine just because one side says its not economical.
 
Nionavyo mimi kuna matatizo yafuatay katika nchi yetu.

La kwanza kabisa ni kuwa wachimbaji wakubwa wote tulionao ni makampuni ya kigeni. Kwa hiyo Tanzania inaambulia tu kile kiichoandikwa kwenye mkataba na siyo zaidi. Katika nchi kama Afrika ya Kusini au Australia makampuni makubwa ya uchimbaji madini ni ya nchi hizo. Kwa hiyo faida inayopatikana inabakia nchini. Ghana wao wana hisa kwenye makampuni yanayochimba nchini mwao. Sisi hapa kwetu haijawezekana hata kidogo. Sielewi ni kwa nini.

Mrahaba wa 3% unatumika nchi nyingi sana duniani. Sisi tuwatoa misamaha ya kodi ambayo imekuja kutuumiza. Baada ya mikataba kuandikwa basi makampuni haya hufuata kama mikataba inavyosema.

Mara nyingi nasikia watu wakisema ati kuna ndege zinaruka kutoka nchini na kwenda nje ya nchi na madini bila sisi kujua kuwa wanatuibia. Hilo ni gumu sana kufanyika. Tunasema hivyo kwa sabau hatujui kabisa jinsi makampuni haya yanavyofanya kazi. Wamiliki wa makampuni haya ni watu wengi wenye hisa kutoka sehemu nyingi duniani. Mameneja wakiiba madini na kutorosha kutoka Tanzania licha ya kuwaiibia Watanzania wanawaibia wanahisa. Hilo hawawezi kufanya. Wanahisa wapo macho zaidi kuona kuwa kila kitu kinakwenda kama inavyotarajiwa.

Sasa hivi makampuni mengi yameanza kulipa kodi ya mapato lakini wananchi wengi hawajui hilo.Serikali nayo inashindwa kuwaeleza Watanzania kuwa makampuni yameanza kulipa kodi mbalimbali.

Well Said Mkuu. Tulikuwa na hisa KMCL enzi zile baada mkapa kuingia na kuja na sela za kutokufanya biashara ndipo tulipo poteza hisa zetu au kuziuza naweza sema.

Sijui kuhusu mwadui tulikuwa nazo till recently years.
 
Well Said Mkuu. Tulikuwa na hisa KMCL enzi zile baada mkapa kuingia na kuja na sela za kutokufanya biashara ndipo tulipo poteza hisa zetu au kuziuza naweza sema.

Sijui kuhusu mwadui tulikuwa nazo till recently years.

Miaka ya nyuma Tanzania ilikuwa na 51% pale Mwadui na De Beers walikuwa na 49%. Watanzania tukalilia kuongoza utawala wa ule mgodi. Meneja wa mwisho wa De Beers alikuwa anaitwa Mr. hunt na liondoka miaka ya 70 mwanzoni na kumkabidhi Rwakatare halafu Manning, n.k. Mgodi ulidorora mpaka ukashindwa kujiendesha kabisa. Ikabidi tuwaombe De Beers wauendeshe tena. Pesa za kufufua tena mgodi ilibidi zichangiwe na De Beers na Tanzania. Tanzania tulikuwa hatuna pesa ikabidi De Beers watoe na hisa za Tanzania zikashuka mpaka 35% au chini zaidi.


Mara nyingi watu wanfikiri Botswana walikuwa na mikataba tofauti na ya kwetu. Hasha. Botswana walikuja kujifunza Tanzania. Walicopy karibu kila kitu isipokuwa walisema wao hawana utaalamu wa kuongoza mgodi. Pale mwanzo waliwategemea sana De Beers. Tuseme hadi leo ingawaje kwa sasa wanaoongoza hiii migodi ni wananchi lakini hakuna uroho wa wizi kama sisi.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom