yawezekana kitendo cha kuchukua upande kinyume na uliopigiwa debe na wakuu ulikuwa ni kujitia kitanzani? itabidi na wengine waanze kufikiria misimamo yao.
yawezekana kitendo cha kuchukua upande kinyume na uliopigiwa debe na wakuu ulikuwa ni kujitia kitanzani? itabidi na wengine waanze kufikiria misimamo yao.
jamani mi nataka tu jina la mtoto wake maana nawafahamu wote pamoja na mzee wao alikuwa poa sana enzi hizobado wanapoa mlimani!!jamani naomba jina tafadhari la huyo mtoto!!
Kwa sasa hivi inafahamika kuwa ni majambazi. Nadhani uchunguzi wa kina baadaye ndio utakaoonyesha iwapo kuna mkono mwingineMtujuze kama ni majambazi tu au kuna mkono mwingine.
Kwa maoni yangu kifo chake kimekuja late i was for long time waiting to hear who will be first to be eliminated, sad to see it is him, na kitanyamazisha wengi. Lakini wenye akili wanajua ni nani wamemuua na wasio na akili pia wanajua kuwa si majambazi, bado hatujaambiwa kuwa wameiba nini kama kweli ni majambazi, na lengo la mauaji bado "halijulikani". Tusubiri taarifa zitakazotolewa usikie unafiki wa sisi watanzania.
Kwanza utasikia alikuwa msomi hodari, alitetea katiba kwa moyo wote, tumesikitishwa sana na kifo chake, jeshi la polisi litafanya uchunguzi na wahusika watachukuliwa hatua kali. It will end there.
BIG UP! unafikiria zaidi ya kiona mbaliMtujuze kama ni majambazi tu au kuna mkono mwingine.
"Mungu aziweke Roho za Marehemu Mahala pema peponi"
siku hizi polisi wanalinda mjini tuu (katikati ya mji) hawalindi makaazi ya watu
Mh... Mtu akifa lazima manabii na wabashiri wajitokeze.... I am not crushing wenye hisia za siasa/intellijensia lakini naona tumekua mabingwa wa kuwapa polisi likizo kwa ku-conclude mamboKwa maoni yangu kifo chake kimekuja late i was for long time waiting to hear who will be first to be eliminated, sad to see it is him, na kitanyamazisha wengi. Lakini wenye akili wanajua ni nani wamemuua na wasio na akili pia wanajua kuwa si majambazi, bado hatujaambiwa kuwa wameiba nini kama kweli ni majambazi, na lengo la mauaji bado "halijulikani". Tusubiri taarifa zitakazotolewa usikie unafiki wa sisi watanzania.
Kwanza utasikia alikuwa msomi hodari, alitetea katiba kwa moyo wote, tumesikitishwa sana na kifo chake, jeshi la polisi litafanya uchunguzi na wahusika watachukuliwa hatua kali. It will end there.