Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,195
- 3,008
Kwa sasa tu tayari haiwezi kudhibiti hao wageni na ajira walizonazo hapa nchini. Mfano mzuri ukienda migodini na kwenye mahotel ya kitalii utakuta wageni kibao kutoka Africa Kusini na Kenya.Wanaitwa Ma-Expat cha ajabu utakuta baadhi yao hawajui kusoma wala kuandika na waanlipana mishara mikubwa sana kuliko wazawa + Manyanyaso.
Haya makubaliano mengine yamafanyika kisiasa sana na hakuna utafiti wa Kitaalamu. Na pia naamini hata kama kuna utafiti wa kitaalamu, wenye mapendekezo mazuri, unaweza kupingwa na usifuatwe. Kwani siasa na mwanasiasa, wana uwezo wa kuharibu mawazo ya wataalamu
Uyasemayo ni kweli kabisa. Kuna sehemu nyingi ambazo hawa jamaa wanajichimbia na hakuna anayejali. Mifano ipo mingi.