Elections 2010 Tanzanian election 2010: My souvenir picture

admissionletter

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
329
157
Wadau nawapatia picha yangu ya Souvenir ya Uchaguzi wetu was 2010. Nawatakia kila la heri mnapotumia haki yenu a kupiga 'kula'!

ufisadi_tu.jpg
ufisadi_tu1.jpg



TanzanianElection2010_Souvenir_Picture.jpg
 
Imetulia sana, nawashauri mwanahalisi iwe front page next issue, watauza sana!!!
 
Ni kweli Bulesi hii ni shida kubwa sababu vyombo vya serikali vinajisahau na kushabikia chama tawala badala ya kuwa 'neutral.' Hii ni 'chronic problem'
 
Aibu ya mkuu wa nchi na mwenyekiti wa Chama. Yeye ndiye aliyekuwa na mamlaka ya kuwapeleka mahakamani lakini hakufanya hivyo. ilipokuja kwenye chama yeye ndiye aliyekuwa na mamlaka ya kuwondoa kwenye list ya wagombea lakini hakufanya hivyo. Badala yake ameenda kuwapigia kampeni. aibu kubwa hii.
 
Wadau nawapatia picha yangu ya Souvenir ya Uchaguzi wetu was 2010. Nawatakia kila la heri mnapotumia haki yenu a kupiga 'kula'!

TanzanianElection2010_Souvenir_Picture.jpg

Kwa hili JK na CCM walifanya makosa
kwanza CCM kuwapitisha kwenye mkutano wao huku wakijua hawa jamaa wana shutuma za ufisadi, na mbaya zaidi kwa Mramba ambaye anashitakiwa na serikali ya CCM kwa ufisadi, Chenge ana kesi pia ya mauaji na Lowasi alitolewa Uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond
Pili, JK hakupaswa kuwapigia kampeni kwa kuwambia wachagueni hawa ndiyo wanafaa huku NAFSI YAKE ikijua mabaya yao
 

MBONA HAWA WATU NI WASAFI SANA, WIVU WENU TUU!
tatizo mnajua watashinda ndo maana mnawachukia!
 
ukichagua ccm basi ujue kwa hiari yako umechagua ufisadi............kesho na kesho kutwa usije kulalama
 
Back
Top Bottom