Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

REST IN PEACE STEVEN KANUMBA.... KWELI KIFO TUNATEMBEA NACHO... POLE KWA WAPENZ WA MOVIE BONGO.. TUMELIPOTEZA JEMBE.... DAH... NINGUMU KUAMIN... Inasemekana amekufwa baada ya kutokea mzozo yeye na mpenz wake akasukumwa na kuangukia KISOGO.. Wakiwa wanajiandaa kutoka out usiku wa saa sita kuamkia leo....
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe na wala kazi yake haina makosa..Uncle JJ katangulia, tutakaofuata ni sisi.
 
Kifo chake inasemekana alikuwa bafuni anaoga kujiandaa kutoka out na mpenz wake.. Aliporudi chumban akakuta mpenz wake anaongea na simu na mwanaume mwingine.. Hapo ndio ukatokea ugomvi ulimsababisha kusukumwa na kuangukia kisogo na hapo ndipo akapoteza uhai wake... Inasikitisha sana... Mapenz noma.....
 
OMG, Kanumba kafariki Duniakama lisaa limoja lililopita…
ni kifo cha Ghafla tu, alikuwa nyumbani kwake na LULU wakati kifo kinamkuta....
Pigo kubwa sana kwa Bongo movies….
IM STILL IN SHOCK…
KUNA NEWS HUWA NAFURAHIGI KUWA WA KWANZA KUREPORT BUT HII YALEO I STILL WISH NINGEKUWA SIJAAMBIWA kama naota vile...
Rest in peace Kanumba…GONETOO SOON…....
 
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika. Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia. Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie RIP
dah! MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
 
Back
Top Bottom