Tanzania

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Kumekuwa na tatizo kubwa sana la maji kusambaa hovyo barabarani na kwenye makazi ya watu punde mvua zinapo nyesha.

je hili tatizo ufumbuzi wake ninini?
Na mamlaka husika inafanya nini juu ya kutatua hili kero?
Nionavyo.

Mamlaka husika ingeliangalia hili kwa mapana na malefu ili kuhakikisha kuwa wanapata suruhisho la hili tatizo , kwani jinsi miaka inavyozidi kwenda ndivyo hali inavyo zidi kuwa mbaya hasa hapa jijini DSM.

Ni aibu kubwa kwa jiji kama hili kuwa na mifereji hafifu isiyo weza kutumika wakati wa mvua.
Kama kuna mtu yoyote anayejua
ufumbuzi wa Tatizo hili tafadhali asaidie kutoa mawazo kwa wahusika. Ikibidi hata wananchi wahusishwe kuchangia ufumbuzi wa tatizo hili
Na mamlaka husika inafanya nini juu ya kutatua hili kero ya miaka nenda rudi??
 
Back
Top Bottom