Tanzania yaweka Rekodi Msaada wa EU

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
EUROPEAN UNION
DELEGATION OF THE EUROPEAN COMMISSION
IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA




PRESS RELEASE

EU approves biggest ever co-operation programme for Tanzania

The EU Member States have approved this morning in Brussels the 2009 Annual Action Programme (AAP) for Tanzania, which includes four separate programmes worth a total of € 385 million (approximately 690 billion TSh), to be funded from the 10th European Development Fund (EDF). This will be formalised shortly by a decision of the European Commission. This complements the bi-lateral cooperation programmes of the individual EU member states.

The four action programmes, which will be channelled through Government systems, include:
• A Millennium Development Goals Contract (General Budget Support) worth € 305 million (equivalent to 546 billion TSh). The MDG-Contract will help to directly address one of the major constraints to Tanzania's development by enhancing the predictability of EU aid.
• A € 70 million (125 billion TSh) Transport Sector Policy Programme, for supporting the construction and rehabilitation of roads. The Road sector has been a key sector for the EU for many years.
• A € 8 million (14 billion TSh) Energy Programme to support renewable energy production, primarily in rural areas.
• A € 2.5 million (4.4 billion TSh).support programme to the Ministry of Finance to strengthen their institutional capacity to address poverty issues.

In addition, approval was granted for an additional € 14.8 million (26 billion TSH) of budget support to compensate Tanzania for last years high oil prices and extra food security demands.

Commenting on the AAP 2009 the EC Head of Delegation Ambassador Timothy Clarke stated, “This is the most significant single decision taken by the EU on development support for Tanzania since EU Aid was given to Tanzania in the mid 1970s: It is the EU's largest ever financial commitment to Tanzania and provides guaranteed and predictable funding over a 6 year period. Tanzania is one of only 7 African countries to benefit from this unique form of cooperation. It is a measure of our confidence that the Tanzanian Government will continue to aggressively tackle the economic challenges ahead, and put good governance, accountability, transparency and the fight against corruption at the centre of their agenda."

A Press Conference will be held at Umoja House at 10.00am on Friday 10th July to give further details on these decisions


Background Note

All eight Millennium Development Goals will be covered under the AAP 2009, with a special emphasis on poverty reduction through pro-poor economic growth. Cross cutting issues, especially gender equality, environmental sustainability and good governance will also be addressed.


Delegation of the European Commission to the United Republic of Tanzania
Umoja House, P. O. Box 9514 Dar es Salaam, Tanzania,
Telephone: (+255 22) 211 7473/6 - Fax: (+255 22) 2113277
Website: The European Commission's Delegation in Tanzania
 
EU wakishatoa wasiishie hapo follow up iwepo kuhakikisha kweli zimeenda huko kwenyewe!
 
Ndio tunazidisha kuwa na ukungu kwenye akili zetu hali hii ni lazima tuikomishe kwa kukusanya kodi nyingi kutoka kwetu then hawa nao wanatupa Kodi za mwananchi wao baadae zinakuja kwa wachache na kutofanya mambo ya maendeleo, Tazama trend za misaada hiyo mingi kati yao inakwenda kwenye consumer products ambazo sio nzuri
 
No wonder JK kila siku yuko safarini. Kumbe inalipa!!!!!

Ha ha ha aaaa, Nchi Ombaomba!!! Hivi kuna nchi inatuzidi duniani kwa kuombaomba???
 
Mimi nadhani hiyo mihela ni mwendelezo wa kutukamata tusifurukute kabisa. Kila siku tufikirie kuna mtu atatuletea pesa. Na hiyo inatudumaza. Tunakuwa tegemezi, huku malighafi wanabeba. Si unakumbuka eti waholanzi wametishia kutotupa misaada kutokana na mwekezaji wao eti kanyimwa mpori ili afyeke misitu.
 
• A € 8 million (14 billion TSh) Energy Programme to support renewable energy production, primarily in rural areas.

So, we get this much for our own enegry production at the same time, the ministry which is somehow responsible for the funds appropriate TShs19 Billion our own tax payer money for Chai, Sambusa and Vitumbua.

What's our priority?

I do thanks the donor countries, but no thank you on this free lunch. We can do much better if we can tight our belts.
 
EU wakishatoa wasiishie hapo follow up iwepo kuhakikisha kweli zimeenda huko kwenyewe!

wao wanafatilia za kwao na wewe fatilia za kwako, jamaa wanachofanya wanakula hela zako za kodi wanaacha za wadhamini

kwa hiyo wewe hela zako za kodi ndio zinaliwa
 
No wonder JK kila siku yuko safarini. Kumbe inalipa!!!!!

Ha ha ha aaaa, Nchi Ombaomba!!! Hivi kuna nchi inatuzidi duniani kwa kuombaomba???
mkuu sisi ni namba moja kwa kuomba bila shaka tunahitaji nishani kwa kuwa vinara katika nyanja hiyo
 
Acheni uhuni. Mnajua gharama za hiyo hela? You will spit out double that amount.

Badala ya kushangilia, mnatakiwa kusikitika.
 
Yaani nawapiga picha vigogo wetu huko bungeni wakikenua na wakipeana tano, kwani wanajua kwamba robo tatu ya msaada wataifisadisha! Pia wengi wao wanajua kwamba wao ndiyo walengwa halisi (au tuseme watajilengesha hiyo misaada) na si mwananchi wa kawaida.
 
wao wanafatilia za kwao na wewe fatilia za kwako, jamaa wanachofanya wanakula hela zako za kodi wanaacha za wadhamini

kwa hiyo wewe hela zako za kodi ndio zinaliwa
Ndiyo maana mbunge wangu ni Slaa, anafanya hivyo kwa niaba ya jimbo letu.
 
Yaani tuko proud kuwa ombaomba?

Shame on all of u mnao shangilia u matonya, hutu tuhela gani twa kuwafanya mshangilie? Hivi ukikusanya mabilioni ya EPA, ukachanganya ya Twin tower, achilia mbali Meremeta na shangazi zake Tangold, bila kusahau vitafunwa vya mabilioni na mashangingi ya wakuu wa wilaya na wajomba zao, achilia mabilion ya uvasco dagama.. Hivi kweli tunahaja ya kupewa misaada kama hii?

Mi nadhani msaada mkubwa ni wao waache kutugawia visenti vyao, hapo ndo akili itachangamka ili tuweze kutunza chetu tulicho nacho, hii spoon feeding hii inako tupeleka siko, na usidhani kwamba hawa watu wanatoa tu, wanajua wanacho kifanya.
 
EU wakishatoa wasiishie hapo follow up iwepo kuhakikisha kweli zimeenda huko kwenyewe!

Ni kweli kabisa. Maana zaweza tu kuishia mikononi wa Rostam Azizi. Tena wakati mwingine wawe wanauliza serikali inataka nini nao wakiona ni kitu kizuri basi wanafanya wao wenyewe na kisha kukabidhi mradi ukishakamilika, mfano ujenzi wa barabaara, kuboresha miundo mbinu ya maji, umeme n.k.
 
here we go again..just when you think " our leaders" may get some sense, we get reminded...thats NEVER THE CASE!
 
So, we get this much for our own enegry production at the same time, the ministry which is somehow responsible for the funds appropriate TShs19 Billion our own tax payer money for Chai, Sambusa and Vitumbua.
What's our priority?

I do thanks the donor countries, but no thank you on this free lunch. We can do much better if we can tight our belts.

nakubaliana na wewe ndg..!
 
Back
Top Bottom