Tanzania yatoa tamko la kutomtambua Laurent Gagbo

Baba Tina

Senior Member
Dec 22, 2010
131
2
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tamko rasmi la kutomtambua Laurent Bagbo na kumtaka aondoke madarakani kwa hiari yake na kumuachi madaraka mshindi halari wa kiti hicho bwana ALLASANE QUATTARA. Hayo yamesemwa na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bernard Membe.

Source: BBC idhaa ya kiswahili
 
Ya kwao yanawashinda, wanakodolea macho ya wenzao!

Unakimbilia kuzima moto kwa jirani wakati kwako kunateketea!
 
Huu uhuni, mlikuwa wapi muda wote umepita bila kutoa tamko? Kwanza huyu alitakiwa atoe tamko la kumtaka rais wake ajiuzulu kumpisha mshindi, na baadae atoe tamko la Arusha.
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tamko rasmi la kutomtambua Laurent Bagbo na kumtaka aondoke madarakani kwa hiari yake na kumuachi madaraka mshindi halari wa kiti hicho bwana ALLASANE QUATTARA. Hayo yamesemwa na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bernard Membe.

Source: BBC idhaa ya kiswahili

Mabwana zao wamemkataa unatarajia wao watamkubali??

Ukweli unabaki pale pale, they dont have moral right to do so kwa sababu na wao niwalewale sema tu hawana namna ya kumkubali maana Marekani, EU et.al wamemkataa.

NAkuhakikishia wangemkubali na wao wangekubali maana wamewapa hawa mabwana zao hadi utashi wa kuwafikiria
 
Huu uhuni, mlikuwa wapi muda wote umepita bila kutoa tamko? Kwanza huyu alitakiwa atoe tamko la kumtaka rais wake ajiuzulu kumpisha mshindi, na baadae atoe tamko la Arusha.

isije ikawa ni maoni binafsi ya membe maana viongozi wa serekali hii hawana tofauti na walevi
 
Mabwana zao wamemkataa unatarajia wao watamkubali??

Ukweli unabaki pale pale, they dont have moral right to do so kwa sababu na wao niwalewale sema tu hawana namna ya kumkubali maana Marekani, EU et.al wamemkataa.

NAkuhakikishia wangemkubali na wao wangekubali maana wamewapa hawa mabwana zao hadi utashi wa kuwafikiria

Nyerere peke yake ndio aliyekuwa anaweza haya bila kusikiliza la hao
 
isije ikawa ni maoni binafsi ya membe maana viongozi wa serekali hii hawana tofauti na walevi

Hapana kasema ni msimamo wa serikali tena ametamka hayo alipokua anaongea na mabalozi, Possiby ndio maana katamka hivyo kwa sababu mabalozi hawamtambui.
 
Am speechless, ukishangaa ya Musa basi subili uyaone ya firauni. mbona kwenye mambo kama haya ni marais ndio wanatoa matamko ya nchi zao?
 
huyu Benard Membe anaupungufu wa akili kwani yeye na ccm wenzake wameshindwa kumtoa meya wa Arusha wanadakia mambo ya Ivory Coast. Waache unafiki
 
mbona hata ccm wenyewe ushindi wao ni wa abracadabra! Wangetoa kwanza boriti lao
 
Sema A........ aaa
Sema B..........biii
sema C..........siiii

yaani km watoto wa chekechea kila ukiambiwa sema ndicho unasema.

Fikra changa walikuwa wapi kusema mwanzo mpaka wafundishwe kusema km chekechea
 
Wao tanzania watoe tamko kama nani tanzania is insignificant in International politics.
 
Back
Top Bottom