Tanzania yashika nafasi ya pili ktk kundi D la kifo

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
683
Baada ya Algeria kuilaza Morocco 1-0, sasa kundi D limekuwa ni kundi la kifo, kwani timu zote sasa zina point nne baada ya kucheza mechi tatu kila moja. Msimamo wa kundi d la CAN 2012 qualifiers upo hivi sasa:

attachment.php
 
mipango madhubuti ya TFF kuendeleza soka la nchi yetu ndio itatusaidia kunyanyua kiwango tulicho nacho.
kwa sasa hata tukifuzu bado inakuwa ni kwa kuunga unga tu
 
Kazi bado tunayo WaTZ, nadhani ingekuwa poa tusingepoteza ile mechi ya Morroco nyumbani. Mungu atatusaidia tushinde mechi moja, draw 1 na hata tukipoteza moja tunaweza kufuzu kwa nafasi ya pili au ya kwanza.
 
jamani tunaomba mtuandikie tu hilo kundi likoje cmu yangu ni kimeo sioni k2
 
Nafikiri pointi tutakazoishia nazo ni hizo hizo,hakuna dalili ya kuongeza,jamaa watatukamua mechi zijazo.Timu hii ya akina sharobaro Samatta mbado sana.Kocha hamna mipango.
 
Back
Top Bottom