Tanzania yapata jina jipya!!

Pokola

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
716
177
Wana JF nimeshukiwa na roho Mtakatifu punde tu, baada ya kutafakari kwa miezi kadhaa kuhusu hali ya nchi ilivyo. Nimepewa ujumbe Muhimu sana kukuleteeni Watanzania.

Kwa kuwa nchi inaendeshwa kama kampuni binafsi, Malaika wamekubali kusajili jina la TANZANIA PLC LTD, na kuanzia sasa tuiite hivyo hadi tutakapoamua kuwa na busara kama raia wa Tunisia, ndipotutafute jina jipya.

Nawasilisha kwa uchungu sana...:amen:
:plane::plane:
 
Huyo Kwenye red huwa hataki mambo ya kubuni, Ni dhambi, nenda katubu kwa kutudanganya na badala yake rudi useme Heading "HISIA ZANGU KUHUSU JINA TANZANIA!"
 
Mpo wengi msiopenda tuingie kitaa kama Watunisia. In the alternative, mnatafuta loophole ktk lugha tuliyotumia kufikishia ujumbe. Thnx GOD, ujumbe umekufikia nawe conservative conman.:eyeroll1:
 
Back
Top Bottom