Tanzania yaongoza kidemokrasia

Hapo niwape pole waTz wenzangu kwa upole na uvumilivu tuliopewa kwani ndo ulio na unaoendelea kutusababishia umasikini japo wenzetu wanachukulia kuwa ni democrasia
 
Democracy is the Goverment of the people for the people by the people!!!
 
Kinachoniudhi mimi ni kwamba,tunaongoza kidemokrasia lakini uchumi mbovu,bidhaa zinapanda bei,maisha kwa ujumla hayashikiki..,
 
Back
Top Bottom