Tanzania yaongoza kidemokrasia

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Hii ni kutoka chanzo kimoja cha habari,chanzo kilidai kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kuwa na demokrasia nzuri kati nchi tano za jumuiya ya Afrika Mashariki,na ni ya 90 duniani,je! Kuna ukweli hapa? TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
May be!!.... but that's like being the tallest midget in America.
 
Watanzania ni watu wapole na wakimya sana hawajui kulalamika ukilinganisha na hayo mataifa mengine ndio maana inaonekana kwamba demokrasia ipo. Lakini ukweli ni kwamba serikali yetu ni ya kinyama kuliko hawo tuliolinganishwa nao.
 
Hii ni kutoka chanzo kimoja cha habari,chanzo kilidai kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kuwa na demokrasia nzuri kati nchi tano za jumuiya ya Afrika Mashariki,na ni ya 90 duniani,je! Kuna ukweli hapa? TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Kuna faida gani kuongoza kwa demokrasia huku ukiwa unaongoza kwa umasikini na ombaomba duniani.
 
No democracy at all in tz,sema tu wanatumia indirect rule ndo inaonekana kuna demokrasia.
 
Watanzania ni watu wapole na wakimya sana hawajui kulalamika ukilinganisha na hayo mataifa mengine ndio maana inaonekana kwamba demokrasia ipo. Lakini ukweli ni kwamba serikali yetu ni ya kinyama kuliko hawo tuliolinganishwa nao.

We acha tu! Nashindwa kuelewa vigezo walivyovitumia,lakini ni ukweli watanzania wengi tu waoga kiasi kwamba,nchi yetu inaonekana kuwa na demokrasia ya kweli.
 
Hii ni kutoka chanzo kimoja cha habari,chanzo kilidai kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kuwa na demokrasia nzuri kati nchi tano za jumuiya ya Afrika Mashariki,na ni ya 90 duniani,je! Kuna ukweli hapa? TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Nijuavyo mimi democrasia iliyopo tz ni ile ya midomoni mwa watu na siyo ile ya vitendo
 
Back
Top Bottom