kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,785
Ni kweli, tatizo hapa mfanyabiashara ni huyo huyo serikali ingekuwa ni mali ya mtu zingechomwa sasa kitakachotokea kama watashindwa rufaa wanayotaka kukata tutaambiwa zimeshachomwa zote kumbe labda ni tani 2 tu zilizochomwa mbele ya waandishi wa habari na mabalozi wa nje
Lakini cha kujiuliza hapa kwa nini serikali inataka kufanya biashara haramu?
ili ipate pesa haramu za kugharamia uchaguzi,na kupanga mikakati ya wizi wa kura..2015.