MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,006
- 2,166
Dah afadhari maana wangefaidi sana mafisadi nilimsikia yule naibu waziri anasema pesa zitakazo patikana watawekeza kwenye maliasili mmh hawata tumia hata senti moja afadhari kama dili lao limebuma.
Walikuwa wanalenga kupata pesa za kuimarisha CHAMA. Zingetumika kwenye takrima na kuiba kura tu!