Tanzania ya 'Rais Lowassa'

Mwisho wa njama za kulisha watu maarufu sumu ni 2015, nchi itakapokuwa inaongozwa na watu makini.
 
ikulu pana biashara gani pale?
Muogopeni kama ukoma!
Hizo hela atazirudishaje?
Hizo hela umezipata wapi!
Akinunua wapiga kura, nae kanunuliwa huyo!
 
Kwa nini CCM mnamuota EL kwa urais 2015? Hamna wengine?
Nyerere alimwambia hivi - una utajiri kuliko umri wako; hiyo ni 1995
Kashfa ya Richmond na Dowans -Tutapoteza over 100bn/- kwa ufisadi wake
Mtu wa visasi nk.
Lakini naona bora ccm wampandishe chati ili waweze kumeguka. Makongoro Nyerere wa Mara ameshasema kuwa wale wote waliotajwa kwenye NEC kuwa ni mafisadi lazima waondoke; na tayari anaandaa hoja hiyo na ile ya kutaka mwenyekiti asiwe rais. CCM ikimg'ang'ania EL, Makongoro atameguka na kundi lake.
Halafu kuna hili sakata la ugonjwa wa Mwandosya na sasa Mwakyembe. Ikidhirika kuna suala la sumu, kanda ya juu kusini lazima kuna pande litameguka. Kitakachokuwa kimebaki ni vipande vipande tu vya CCM.

Mkuu mbona tunaishia kwa Richmond na Dowans tu vipi kuhusu Symbion? Richmond iliuza kwa dowans, Dowans akauza kwa Symbion lakini huwa hatuigusi Symbion!!!
 
Back
Top Bottom