Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 53
Hivi niulize yule mtu tuliyeambiwa kuwa jina lake liko mezani kwa Kikwete kwa ajili ya kuandaliwa kuwa rais wa 2015 ni nani?Hivi atakuwa Lowassa, Membe, Sitta, Mwandosya,Magufuli,
Arusha huyu Lowasa ana majumba kila kona, London kila kona Dar sijui Tanzania kaifilisi kwa miradi yake ya DOWANS, ebu fikiri kidogo akipewa Uraisi si nchi itabaki jangwa???????????
Maelezo Mengi Point hakuna kabisa. Kila Mtanzania Ana Haki ya kugombea urahisi kikatiba na unapogombea sio lazima ushinde ina maana kura ndizo zitaamua. Mambo ya 2015 kuyazungumzia sasa hivi ni kama mtu anaota ndoto maana hata hatujui ni nani atafanikiwa kuuona mwaka 2015.
Believe me, CCM hata wakisimamisha jiwe, kwenye nafasi ya uraisi kwa 2015 hakuna chama kitakachochukua. Lowassa usifikirie ni mpumbavu, he is the highly intelligent boy, uliza waliosoma nae, uliza wote waliokuwa chini yake akiwa PM, na kabla ya hapo wizara ya Ardhi, uliza jinsi jamaa alivyo na highly convincing power kule nothern zone, mjomba Excellent usicheze..... na kwa mtazamo wangu, ndiye mtu pekee ndani ya CCM anayeweza kupata asilimia nyingi sana ya kura kutoka kwa wananchi. Ufupi jamaa anajua kujipanga, na atahitaji kusafishwa kidogo tu, na historia ya uchapa kazi itambeba.
Arusha huyu Lowasa ana majumba kila kona, London kila kona Dar sijui Tanzania kaifilisi kwa miradi yake ya DOWANS, ebu fikiri kidogo akipewa Uraisi si nchi itabaki jangwa???????????
sawa sasa unataka rais maskini mbona wakina raila odinga wana ndege 540 wakina obama wana magorofaWewe ni muongo natoka Arusha, acha kuandika uongo, kama huna cha kuandika acha. Kelele za kuku hazimzuwi mwewe kuchukua kifaranga.
Mimi ningependa kuwaonya watanzania wenzangu hata hao wana ccm wakimpitisha sisi watanzania tumkatae hatufai kutuongoza.