ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Na wajomba wanasimuli Ilikua pia hakuna haja ya kutumia mipira ya kiume
Yaliwezekana haya kipindi kile watu waliopita university wa kuhesabika kwanini leo mipango haipangiki maana zamani train mtu anajua itapita saa ngapi morogoro, Dodoma na tabora mpaka mwanza na kama inafika saa kumi na moja basi ni kila siku kwa muda wa mwaka mzima inapita around mida hiyo na haizidi saa 12 lakini siku hizi leo ikipita saa 2 siku nyingine saa 6, kasoro train ya Mpanda ndio ilikuwa haina kanuni kutokana na miundombinu ya kule
Ahsante mkuu, kumbe uzi bado upo hai pamoja na kwamba umetolewa na King Kong III kitambo kidogoUko sahihi kabisa Mkuu. Enzi hizo za UDA, DSM Muda wa basi kupita kituoni tulikuwa tunaufahamu kwa hiyo wanafunzi tunajiandaa muda wetu nakumbuka basi Uwanja Taiakwetu lilikuwa linapta saa kumi na mbili na nusu Juu ya alama. Na hilo basi ilikuwa likichelewa 5 minutes tena kwa nadra. lakini sasa hivi kila mtu na lake. Ukiuliza ooh siku hizi foleni ilimradi shaghalabagala.
tulianza kutembea siku nyingi sijui tulisimama wapi!!
Daah! chalinze nafikiri
Halafu tulipo simama tukarudi nyuma..
Na tulipoanza kurudi nyuma ghafla tukateleza.
Ha ha ha ha. Enzi hizo! Mabitozi (beetles) hao. Bila shaka hapo ni disco la mchana lililoitwa Boogie.Mabishooo wa enzi hizo
Mabishooo wa enzi hizo