Tanzania womens bank

Mbwanajr

New Member
Aug 14, 2009
3
0
hy! al jamii forum members! i guess this is our platform 2express our thoughts and even To get answers for our questions from members. IS THERE ANY NEED TO ESTABLISH WOMEN BANK?
 
sasa na sisi wanaume tuanzishe benki yetu?? Mimi nasubiri sasa nafasi za ubunge viti maalum kinababa nami nichangaamkie!

Hivi tukianzisha chama chetu kutetea hati zetu sisi wanaume..je mtaniunga mkono??
 
Last edited:
sasa na sisi wanaume tuanzishe benki yetu?? Mimi nasubiri sasa nafasi za ubunge viti maalum kinababa nami nichangaamkie!

Hivi tulianzisha chama chetu kutetea hati zetu sisi wanaume..je mtaniunga mkono??

Yeah. Binasi nitakua mtu wa 2 kujiunga nawe.
 
two things:

1) nadhani hii itakuwa inaangukia kwenye ANTI-DISCRIMINATION LAWS if not KATIBA,

2) kwa sababu wanawake ni weak in almost everything (kwa sababu mbali mbali including mfumo dume tulionao) this bank is bound to fail

hiyo point ya pili kila mtu anajua lakini hakuna anayethubutu kusema hivyo nishakurahisishieni kazi...yap I've said it

Halafu watatumia pesa za umma kuisetup hii benki au itakuwaje?
 
1. Kwa sababu uchaguzi wa 2010 unakaribia ni muhimu kufanya jambo ambalo litavutia wapiga kura tena walio wengi

2. Hata ikifa, uchaguzi wa 2010 utakuwa umepita na tumeshapata madaraka, basi tutakuja na lingine 2015!:rolleyes:
 
Back
Top Bottom