Dating Tanzania - You can easily find local singles, dating partners, womens, girls, mans, new friends, singles from all over the world and Tanzania
Hapana, ahsante.
Mbona umeruka ghafla vipi, unawaogopa kina domo la guruwe?
mmh! Domo la guruwe ndio kina nani.
Hao wamejaa tele kwenye madating sites hawaachi kitu hao na akishakudanganya tu anapotea,wameitwa domo la guruwe kwa sababu hawachagui wa kumdanganya.
Huo msemo ulikuwa hujawahi kuusikia?
ndio nausikia kwako.
Huku hatuna misemo kabisa.
Hebu niongezee mingine.
usinchekeshe maana nikikuongezea hatutalala leo wacha tu niishie hapo...
Jamani nisaidieni hiliROBLEMS FACED IN HYPOTHESIS FORMULATION-ni zipi?
ndio nausikia kwako.
Huku hatuna misemo kabisa.
Hebu niongezee mingine.