Zitto kwa hisani yako naomba makala kama hizi ambazo zinagusa mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa, ziwe kwa lugha ya Kiswahili. Watu wengi wanaoongea Kiingereza wana ulewa mpana na wa kina wa mambo yaliyo kwenye makala kama hii. Na wengi wao wana 'interest' na pengine wasingetaka sana kufanya tofauti na ilivyo sasa.
Kama tunataka mabadiliko yawe na msukumo wa kipekee ni lazima yawe 'bottom up' na asibakizwe mtu nyuma. Lugha inabakiza watu wengi nje ya ulingo wa mijadala na watu hawa wangekuwa na michango mizuri sana. Watu wa Mtwara na Lindi kwa mfano, wangefaidika kama wangekuwa sehemu ya mjadala. Lakini ni wangapi Lindi na huko Mtwara wanaelewa Kiingereza?
Makala za kiingereza zinakwenda kwa wale wale tunaombiwa 'hawana elimu' ya kuandaa mikataba na bado wanaachwa kuandaa mikabata!
Chondechonde -asiachwe mtanzania nyuma.
Hivi pesa za NSSF ni za serikali?Mara nyingi huwa tunatafuta very complicated solutions kwa matatizo yetu, lakini jibu la matatizo yetu ni simple tu. Good intentions.
Hatushindwi kuendelea kwa sababu ya kukosekana kwa good ideas. There is alot of good ideas in government doccuments, but the problem is that good ideas die in the book shelves.
Tukiwa na nia ya dhati hakuna tunaloshindwa, na hapa ndipo tunapokwama.
Labda nitoe mfano wa daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake umefunguliwa rasmi leo. Wazo la ujenzi wa daraja lipo tangu awamu ya kwanza, lakini hatujaona daraja zaidi ya maneno matupu. Bajeti ya daraja ni less than bilion 300. Kesi moja tu ya Liyumba inamshutumu kuitia hasara serikali ya sh. bilion 221, which means kama kungekuwa na usimamizi mzuri utakaodhibiti Liyumba asilete hasara hiyo tayari daraja la Kigamboni lingejengwa. Sasa jiulize kuna kesi ngapi za ufisadi? sh. ngapi zinaibiwa? Kwa hiyo tatizo letu siyo good ideas kwa sababu watu wasio na malengo ya dhati ya kuleta maendeleo hata wakiwa na good idea wataifungia kabatini mpaka waone kuwa watanufaika kwa kujitajirisha kibinafsi hata kama wanaleta hasara kwa umma.
Kwa hiyo bwana Zitto na makala yako ndefu ya mawazo ya kinadharia huu sio wakati wake. Sasa hivi tuelekeze concentration ya taifa kwenye kuchagua viongozi bora watakaofanya kazi ya maendeleo kwa dhati. Bila kuwa na uongozi bora na mfumo wa checks and balance good ideas become useless...
Hivi pesa za NSSF ni za serikali?
Kiranga my bro,first of all to differ with me is your right.
What I am trying to emphasize is the right forumn. We all know hon. Zitto is from opposition part in the name of CHADEMA, therefore if the matter can be taken more seriously can bring more results. Kiranga you remember issue ya mabadiliko ya Katiba? Why opposition parts cannot team up again and show their uzalendo on this? May be there seeing Hon Zitto preferring one man show and that is why they step back. But again if that is what they are doing for whom's benefit?
When we discuss issues of natural resources, we should always remember that is where our wealth is. When we talk about poverty and all the good strategies formulated day and night to ensure we improve our economy natural resource has more percentage on this. Again remember this is the time. God didn't give us all those natural resources to be taken away and benefit someone else.
Transparency is what we are all looking for, but what thereafter?
Kila nyumba Ina Siri zake, I believe it is the same to our Govt.
As directed by prof, let a team go through those contracts, review them and give us the report. Let me remind you je report ya Bomani iliwekwa publicly after that review, furthermore what are the outcome of the findings and recommendations?. Do we know them in that picture of transparency?
I still believe we need to support prof on his vision and strategies.
If Hon. Zitto can join him for the sake of TZ and sensitivity of the matter, it will be my pleasure and I will thank God for that.
Anyway that is my opinion.
Queen Esther
Kwasababu ulitoa mfano wa pesa za serikali zinazoliwa badala ya kupelekwa kwenye shughuli za kimaendeleo,na ukatolea mfano wa EPA,ama?Yes ni za serikali, lakini sijaelewa connection kati ya swali lako na hoja yangu.
Kwasababu ulitoa mfano wa pesa za serikali zinazoliwa badala ya kupelekwa kwenye shughuli za kimaendeleo,na ukatolea mfano wa EPA,ama?
Si ndiyo hiyo hiyo kama EPA?Bado hujaelewa ama?Ok, mfano niliotoa ni wa BoT.
Mkuu, as you would have participated katika mjadala via traditional media ndio hivo hivo you can participate via JF. Kwanza nadhani hapa ni bora zaidi sababu unachukua muda wa kupanga maneno yako kabla ya kuyatangaza, pili unaweza kuunganisha source kabisa to an article, a video or audio link etc ili members wasome kwa undani zaidi. Tafadhali, just share.Zitto kwenye uzi wako nilipendekeza kuwepo na mijadala huru kupitia TV na radio, Nipo tayari kutoa ushiriki kuelezea ni jinsi gani wenzetu wanapractice & kunufaika na sera za gas, vinginevyo hatutampata mchawi iwapo mtaendelea kutunga sera chumbani.
Nigerian Oil and Exchange Rates: Indicators of []Dutch Disease’ - Struthers - 2008 - Development and Change - Wiley Online LibraryIt is debatable whether the theoretical aspects of Dutch disease are wholly applicable to LDCs, because the oil sector typically does not
employ a factor that is sufficiently mobile to the rest of the economy. As a result enclave development is common. This implies that there is really only a spending effect, and no direct deindustrialization
Boss (and Kiranga)Unajua mimi najiuliza kama viongozi wetu wanafuatilia
hata kwenye tv tu jinsi viongozi wa nchi nyingine walivyo makini na
wanavyojiandaa na pia matumizi ya lugha na wakalimani wanapokwenda nchi zingine?
wachina na wamarekani wanapokutana tv zoote zinaonesha na unaona
wakalimani wanatumika na unasikia wachina hao hao wamesoma Marekani au Uingereza..
hatujifunzi kabisaa
Such a remarkable, graceful, eminent elegance. Marhabaaa.
If JF is not the right forum, where is this right forum then?
Which is even more of a reason to make sure we are getting the input of Tanzanians of all sorts, not receding to the secrecy of self-appointed obscurantists and ottomanlike ombudsmen.
Transparency is the father of better decision making just as discussion is the mother of progress. Without transparency you can't have an informed discussion, good decision making process or any meaningful progress at all.
I wrote extensively on the delicacy of this issue and how to maintain that carefully balanced position of giving what is needed without compromising what could be considered genuinely harmful here A campaign for greater transparency: Tanzania government contracts
This should be evidence for a need for better transparency, not less.
Why do you think a cry for more transparency is not supporting a better vision for Tanzania?
We have to quit looking at this issue from the perspective of personalities as in "the Prof's vision" "Zitto could join him" etc, and look at the polity and policy issues, principles involves, pragmatism and learning from experience. Secrecy has done nothing for our country for the last 50 years, it is time we do away with it.As I stated before, those who know what is really lethal don't even come to air that in these forums, and what Zitto is giving us is pretty much declassified info, or he would be in trouble from the Draconian hand of the government.
The philosophical difference between myself and you is that you tend to believe in secrecy while I believe in transparency.
A queen ought to know that Machiavellian intrigues are better suited to a bygone era, and that the seed of secrecy is bound to fruit in a tempting opportunity.
The people aim to remove even the opportunity for temptation, the very root of corruption and graft.
Information is power, give the people information and you give them power.
Your attempt to strangle a natural growth is running against the tide of history.
If you want to remain a Queen, you will do well to recognize that.
Zitto una hoja nzuri lakini naomba tuelimishane kwenye sehemu mbili muhimu (a) Kuhusu ujenzi (b) Wataalamu
Mwanzo:
Sheria ya mafuta haitakiwi kuchukua zaidi ya mwaka kuweka!! Tanzania sio nchi pekee duniani yenye sheria ya mafuta hivyo hakuna sababu ya Msingi ukizingatia tuna wabunge na wahisani wenye nia ya kusaidia haitachukua zaidi ya miezi sita kuweka Bill bungeni nzuri ya yenye uwazi kuhusu Gas and Oil.
Link hizi hapa
http://www.bain.com/bainweb/images/LocalOffices/BNDES_Consolidated_Report_BNDES_eng.pdf
Home
Vilevile Zitto ni lazima uelewe kuanzia research mpaka production ya Oil and Gas inachukua miaka kumi na mbili hivyo ukisema tusubiri miaka kumi ina maana production ya Oil and Gas itaanza baada ya miaka ishirini na mbili!!. Serikali kwa miaka kumi ambayo search za mafuta zinaendelea inatakiwa Kujenga au kupanua barabara,bandari na kuelemisha watoto wetu wa vyuo ili waweze kufanya hizi kazi. Kuna Pipeline inatengenezwa kwa mkopo wa China lakini tunatakiwa kuweka barabara ya bandari. Hakuna ulazima wa kusubiri kama tutapata Bill ya Oil and Gas.
Kuhusu Wataalamu:
Zitto nakuhakikishia kwamba Watanzania wenye utaalamu wa Oil and Gas wako wengi sana lakini hawapo Tanzania wapo Texas, USA. Kuna Watanzania zaidi ya mia mbili hapa Houston na Dallas ambao ni wataalamu wa Oil and Gas na utashangaa walivyo wengi hapa Houston kwenye sehemu zote za Oil na Gas Production. Kuanzia kwenye Rig za majini mpaka Oil and Gas Software. Marafiki zangu wote wa Kitanzania na ndugu zangu hapa wanafanya kwenye Oil and Gas. Sasa wanasiasa badala ya kufungua matawi mngekuja na kuweka mkutano wa wataalamu wa Oil and Gas ambao ni Diaspora ungeshangaa walivyo wengi. Hawa watu wote wanaweza kurudu nyumbani kama wataheshimiwa kama wataalamu wengine wowote. Vilevile Zitto badala ya kwenye Europe kujifunza kuhusu mikataba njoo kutana na Watanzania wa Houston na uongee nao kuhusu Oil and Gas. Houston ndiyo Head Office ya kampuni za Oil and Gas Duniani.
Zitto,
Tanzania ni nchi yetu na kila mtu anajua ya kuwa Rais ndiye kila kitu! Huyu waziri tunamwone tuu kwani he is being used as a mouthpiece tuu hapa. Swli langu kwako uliposafiri na rais kwenda Ethiopia mliongea naye nini kwenye ndege? Ulimwambia kuhusu hii ishu?