Nimesoma kwanza ktk Twitter nikashtuka, nikaingia kusaka habari zaidi..ndio hiyo...Bofya
Je, ni jambo zuri kuchimba Uranium toka mbuga za wanyama ya Selous.. Je kuna usalama kwa hao wanyama na binadamu! nimeona mradi kama huu kule Kongo DRC ambao ulitengeneza bomu la nuklia lilopiga Japan, leo hii sehemu imebakia magofu matupu ambayo binadamu hawaishi karibu wala kuruhusiwa kupita.