Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
- Thread starter
- #21
by the way si mnajua jinsi wa Tz hatuna forums za walaji kulalamikia mifumuko ya bei,hii siyo ktk simu tu,hata ewura ktk gas ya kupikia,luku tanesco na petroli ,na VAT ni miongoni mwa vyanzo vichache vya mapato ya TRA.kimsingi hakukutakiwa kuwa na VAT ktk kununua vocha na kuitumia vocha kwani sioni value addition ktk hilo,unanunua vocha ili upige simu kwa kutumia mtandao wa mwenye vocha,sasa hiyo value addtion Tax inatokea wapi.
Mtoa mada umeongea la msingi sana ktk hili.Now how do we tackle this VAT ili ipungue ktk cost za kutumia simu.
bado hata kiwango cha VAT hapa ni kikubwa uki-compare na jirani zet uganda na kenya..sijui sisi wametumia kigezo gani