Tanzania wanataka kununua umeme Ethiopia

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu
 
Mkuu,

Rafiki yangu mmoja alikua anaishi Addis ababa kwa miaka karibuni miwili...Anasema hajawahi kuona umeme umezimwa (blackout) .Kweli tz ni nchi ya ajabu sana.
 
Miji mingine nje ya Addis hukatiwa umeme mara kwa mara. Mfano ni mji wa Nazareth, kilometa 60 tu kutoka Addis. Wao hukatiwa umeme ni sawasawa na Dar-es-Salaam.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu

yakhe, si walisema gesi ya kule ntwalaaa, itazalisha umeme mwingineeee?
 
Leadership matters. Remember the charity song we are the world whose proceeds went to feed the millions of Ethopians devasted by the 1984/1985 famine? That was Mengistu Haile Mariams Ethiopia. Cometh the moment cometh the man- Meles Zenawi in a less than a decade reversed Ethiopia fortune from wretched of the earth to food and Energy self sufficiency with surplus of both to export. Today Ethiopia has a modern commodity exchange envy of most African countries. A 400 kva powerline is being constructed to supply Kenya with much needed energy. Power starved TZ like food hungry Ethiopia then, probably needs 'bands aid charity' or better still our very own Zenawi to reverse our fortunes. Leadership matters.
 
meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu

Inaonesha kiwango cha upumbavu wetu! Yaani tunaambiwa gesi imegunduliwa yakutosha hadi kujenga kiwanda cha kuisindika! Sasa kununua umeme toka Ethiopia ya nini? Au tunaona ni fashion; kuwaiga jirani zetu Kenya?

Mipango ya kufumbua matatizo nchi hii utadhani inapangwa na wehu!
 
Si kweli, nimekaa addis naijua vizuri. Umeme unakatika sana wanatumia mishumaa na vibatari jamaa maskini wa kutupwa
 
Hamna lolote hapo wanatafuti jinsi ya kuiba hela za wananchi tu maana tumewaumbua kwny sakata la nguzo na sasa wanakimbilia ethiopia ile hali mtwara kuna gas hadi imekosa matumizi! CCM pumbavu!
 
Mimi nilijua labda wanataka kununua Ma-generator yanayotumia gesi kwakuwa sasa tunayo.Ama kweli wakati mwingine unatakawa kufikiri kabla ya kusema!
 
meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu
...kama hili ni la kweli basi itakuwa habari njema.. hasa kwa gesi yetu.....na tusiishie kununua umeme tu....tuwakodi watusaidie katika uongozi... hasa wa kisiasa... nafasi zote za juu.....:mad:
 
Armanisankara na Wana JF,
Hivi Viongozi wetu Uwezo wao wa KUFIKIRI ndio umefika Kikomo aka Hapo ??
Tumetoka kuazima Majenereta aka Mitambo ya Kuzalishia Umeme toka kwa Watani wetu wa Jadi hapo Kenya.
Sasa tunataka kununua Umeme Ethopia, Jamani tutachekwa kama hatuchekwi sasa hivi.
Wananchi aka WaTanzania tumefanywa Mandondocha aka Wajinga, maana wanafanya watakavyo na sisi tupo tu Kimya. Kama Hii Habari ni ya Kweli basi tumefika Pabaya.
Nawakilisha.

meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu
 
Umeme wa Richmond,simbion,aggreko,IPTL?? muda wote huo mlikuwa wapi? akili au matope? au ni kampeni za 2015 zimeanza.Hatudanganyiki!
 
Wizi mtupu! Ethiopia kwenyewe huwa kuna mgao wa umeme, ni umeme upi watakaotuuzia! huku ni kujidhalilisha tu
 
Back
Top Bottom