Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

kampuni nyingi za nje zimeleta wafanyakazi wake wengi tu wenye vyeti feki kwani ni ajabu. watendaji wengi wa kazi ni wabongo.

hiyo wizara ya kazi ni kurubberstamp tu kwa uhamiaji kutoa vibali. mawaziri ndio wameongoza kuwaombea vibali wageni.
 
Wazee naona kama makelele yetu yanaelekea kuzaa matunda. Lets keep it up, I hope they will do something serious, hopefully. But I'm disappointed by comments by Mr Sabaya of HEAC/TCU which gives an impression that bogus degrees are only rampant among academia within newly established private universities while public universities like Mzumbe "shines" on the same.
 
Wacha

Those are the consequences when you entrust leadership on hands of people with bogus qualifications. By the way I even doubt the trustworthy of such character, a people who takes shortcut in academics should be avoided at all costs, simple common sense.
 
I am pretty much sure that our 'cries' through this forum must have helped in this issue taking such a high profile. Hope they will go further than condemning!
 
Mwanasiasa.
watakaotajwa ni Bukoba university tu ili kutolewa kafara.
DR.David Mathayo na kina Nchimbi hawaguswi. kwani hujui Mathayo mtoto wa kamati mkuuu? ni Mtoto wa Msuya David wao wako above the law.
 
On this issue, Mzumbe has a serious problem. It is a famous institution, but now its fame has been hijacked by greedy personnel. Please Prof. Msollah, start with Mzumbe.
 
Nilisoma somewhere kama sikosei kiko kule Iringa I think it is a University.

Kuhusu bomu sijui, lakini hata UK kuna vyuo bomu?
 
Kairuki kiko Dar. ni cha mama wa kihaya wanafanya medicine. ila nina wasi wasi nacho.naomba michango ya wanabodi.

UK kuwa na vyuo vikuu bomu sijasikia labda unazungumzia vi college vya mtaani.
 
ROEHAMPTON UNIVERSITY kimeshika nafasi ya 100.


Top 10


1 UNIVERSITY OF CAMBRIDGE

2 UNIVERSITY OF OXFORD

3 UNIVERSITY OF EDINBURGH

4 UNIVERSITY COLLEGE LONDON

5 UNIVERSITY OF LEEDS

6 UNIVERSITY OF GLASGOW

7 UNIVERSITY OF SOUTHAMPTON

8 IMPERIAL COLLEGE (IC.AC.UK)

9 UNIVERSITY OF NEWCASTLE UPON TYNE

10 BRISTOL UNIVERSITY (BRIS.AC.UK)
 
Kushika mkia si ubomu kwani kinatoa elimu standard ila kinapitwa vitu fulani fulani vya ziada na vingine.
Mfano Manchester united wana weza kuwa mabingwa lakini haina maaana Charlton FC au Warford ni timu bomu. watakuwa wa mwisho kwenye ligi ila wana kila kitu kama vifaa, kocha n.k,na huwezi kuwalinganisha na Simba, Yanga au Mtibwa. au unawezakusema Yanga ni sawa na Watford fc?

mfano hicho ulichesema chuo cha mwisho UK huwezi kukututa hakina walimu au wanafunzi wanakaa chini na huwezi kukifananisha na UDSM hizi standrad zao wenyewe sio sisi wapita njia.
 
In addition to mswahili's maelezo, Kushika nafasi ya 100 kwa UK bado kipo juu sana ukilinganisha na vyuo vingine duniani hasa duniani ya tatu. Kumbuka, katika the best 200 universities in the world, hakuna hata chuo kimoja kutoka Afrika! Hamna cha UDSM wala University of Capetown! Sasa katika hali hiyo wewe unafikiri kama chuo cha akina Nungwi (Mzumbe) kitakuwa wapi katika hiyo list, unaweza kucheka badala ya kulia!
 
Nakubali sana Mwanasiasa.
huu ujinga wa league table sisi wageni hautuhusu.ila na sisi WaTz tumeingia mkumbo huo. kweli kunawezakana chuo fulani ni wazuri kwenye area fulani lakini haimaanishi chuo kuwa cha 100 ni sawa na Udsm,Mzumbe au makelele.
na pia itegemea mtu mwenyewe binafsi. kuna mwanasheria Imran Khan ambaye alisisimamia kesi ya stephen lawlence moja ya kesi kubwa sana UK na huyu lawyer kamaliza east london uni
 
huyo Imran Khan ni kiboko

jamaa aliwatetea jamaa waliokuwa Belmarsh kwa tuhuma za terrorism lakini baadae ilibidi serikali iback down

Tazama watu kama Thurgood Marshall na Johnie Cochran hawakuenda Ivy League universities lakini tazama performance zao

Kwa mnaosoma Law msiogope kuapply kuwa hata par alegal pale CLIFFORD CHANCE kwani sasa hivi wanawaa wanafunzi wa vyuo mbali mbali London nafasi ya kufanya work experience na wao vile vile MATRIX LAW CHAMBERS pale kwa Cherie Booth kazi zipo tuu

sikatai kuwa msiende kufanya kazi na MKONO & CO lakini kama umepata kazi CLIFFORD chance then you are set for life
 
Its true such degrees and diploma mills have been around for a long time. What worries more are the degrees that threaten human life like fake doctors who may operate you. And who knows you may be given wrong amount of anasthesia in theaters thats fatal. And the fake engineers who cause bridges/buildings to fall taking peoples's lives?
We will keep rasing our voices mpaka hapo zitakaposikika. Ila msako utakapoanza jamani tusishangae kuona our trusted leaders kuwa ni vinara wa kuhold hizo plastic degrees. Haya Yetu macho.
 
Mwanakijiji

Hebu tuwekee majina kama unayo, tuachane na porojo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom