Tanzania vs Egypt live

Mpira umekwisha ndio hivyo tena tumelala twende tukatawanye maandamano tu ndio tunachoweza sisi!
 
Safari bado ni ndefu sana sana,kwa kufungwa huku as if beki hatuna jamani???
 
hawa wachezaji wanatakiwa wakirudi wafikie lupango angalau ck tatu. Mnakumbuka wakuu drc congo ilishawahi kufanya hivyo, sasa hivi timu inajituma na wanafanya vizuri
 
Michelle si kufungwa tu sijui kama tunalengo la kushinda kwa mchezo wa leo safari si ndogo kwanza tufanye mambo mengine tu
Safari bado ni ndefu sana sana,kwa kufungwa huku as if beki hatuna jamani???
 
Safari bado ni ndefu sana sana,kwa kufungwa huku as if beki hatuna jamani???

Kwa kweli Kaseja na mwenzake Canavaro walikuwa wamekula kitu fulani cha kijani...

Haiwezekani wakafungisha magoli ya kichekechea namna ile..
 
Kwa kweli Kaseja na mwenzake Canavaro walikuwa wamekula kitu fulani cha kijani...

Haiwezekani wakafungisha magoli ya kichekechea namna ile..

Sitoshangaa kabisa yani imekuwa kama vile wamekwenda kutembea pale,hakuna ile spirit ya ushindani na kutaka kushinda,mtu anatoka na mpira anakojua na anafunga kwa wepesi kabisa??????labda wanafikiri na huku na kwenye hili watababaisha then bahati itokee wajikute nusu fainali then fainali,ifanyike hapa home washinde????? ha ha ha ha,safari ndo kama imeisha kabla ya kuanza. Nawashukuru kwa ushindi uliopita but isiwe sababu ya kutuumiza vichwa baadaye.......we need consistency,huh!
 
Bado hatujawa washindani wa kiwango cha kupambana na nchi kama Misri hasa hususan mechi ikichezwa Cairo au mji wowote wa Misri au nje ya TZ,tutashinda labda tukiwa bongo tena saa nyingine msaada wa kamati za ufundi na timu pinzani eg Misri au taifa lililo juu kisoka kutochukulia siriasi mechi yao vs sisi TZ
 
Back
Top Bottom