TANZANIA vs ALGERIA LIVE ON....

Masuke kikosi kikianza hivyo imekula kwetu,naamini Mrwanda,Ngassa na Samatta wakishambulia pamoja hakuna beki ataezuia dk zote 90
<br />
<br />
Hofu yangu ni kumpanga Henry Joseph namba nane maana ni mzito any way ngoja plan ya kocha maana yeye ndo alikuwa nao mazoezini.
 
Timu zinakaguliwa sasa.....

BALA heshima yako mkuu!!Sisi tulio nje ya nchi tunakutegemea ww maana nimejitahidi kutafuta link nimekosa.Ungetutupia na line up ya TZ ambayo ni muhimu hiyo ya Algeria sina haja ya kujua ila nahitaji kujua kama Zidan yupo
 
Kwa sisi tulio algeria au waliopo kwa matias?
Dunia ilpofikia channel ikiwa katika satelite basi haijalishi wewe uko wapi,kuna vitu vya kiufundi,kama vile ukubwa wa dish unalotumia,au upande gani umelielekeza na footprint ya satelite husika.Kwa mfano ATLANTIC BIRD3 5W,coverage area ni bara lote la Afrika.kwa maana hiyo mechi hii haijalishi uko wapi,ALGERIA au kwa MATIAS.
 
hivi hatuna akina swedi mwinyi wa kwenye keyboard? leteni up dates wakuu!
 
BALA heshima yako mkuu!!Sisi tulio nje ya nchi tunakutegemea ww maana nimejitahidi kutafuta link nimekosa.Ungetutupia na line up ya TZ ambayo ni muhimu hiyo ya Algeria sina haja ya kujua ila nahitaji kujua kama Zidan yupo
Tafa Stars:

1. Juma Kaseja
2. Shadrack Nsajigwa
3. Amir Maftah
4. Aggrey Morris
5. Juma Said Nyoso
6. Shaban Nditi
7. Nizar Khalfan
8. Henry Joseph
9. Mbwana Samatta
10. Abdi Kassim
11. Danny Mrwanda

Ngassa kaanza benchi

Watch Tanzania vs Algeria Live Stream Online
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom