Tanzania Tycoons List...

Mods inabidi ianzishwe thread mahsusi ambayo itaelezea maana ya neno BREAKING NEWS, maana hata udaku, umbeya na tetesi watu wanaita breaking nyuzi.
 
sasa hawa matajiri wa kiislam si ndo wangechangia kujenga shule au kutoa scholarship kwa waislam jamani, au ndo kutoa tu million mia moja watu waingie bure uwanjani Yanga wakicheza?
 
Hii list ilitakiwaiwekwe kwa vielelezo tofauti tofauti....wekeni wenye fedha bank.....kiasi gani...wenye dhamana...majumba...viwanda .....wenye hisa kwenye makampuni na thamani zao....vinginevyo haieleweki kabisa
 
Basi zitengenezwe mbili.

Nina wasiwasi kuwa tukiendelea kuchambua hili tutajikuta hatuna tajiri hata mmoja.maana kimsingi tunatakiwa kujua historia ya utajiri wao.
Wezi wa meno ya ndov,mafisadi wa mali za umma kweli hao ni matajiri?
au ni wezi tu.
tupeni vigezo vya kila tajiri aliyetajwa.
 
In developed countries where proper institutions are in place a persons' wealth is no secret. Even if a persons' exact wealth can't be calculated, a reasonable guess can be made. Here in Tanzania even the salaries of public officials is a "state secret". So my question is, according to the knowledge of different members in JF, who are the richest Tanzanians and how did they accumulate their wealth?
 
You are asking the obvious! Those with influence and particularly in the 3rd and 4th Phases, HENCE His Excellency BWM and JKM! Of course and the liutenants Visent, Masha,Ngeleji and associates Mkono, Manji, RA, EL, and may be Ritha
 
1s s bakhresa
2.zakaria
3.dewji
4.shah
5.menek
6.ally ushum
7.balhabou
8.........
 
1s s bakhresa
2.zakaria
3.dewji
4.shah
5.menek
6.ally ushum
7.balhabou
8.........

Hao nilio highlight ni wakina nani? Zakaria nimemsikia sikia kwa sababu alikua ni mfadhili wa kituo kimoja cha mayatima karibu na nyumbani ila hao wengine nilio highlight ndiyo kwanza nawasikia leo. na wana husika na nini?
 
zakaria----korie cooking oil,murzah oil. siko sure sana...

shah.-----shellys pharmacetical.......

ally ushum-------oilcom

balhabou-----tiot......

naweza kosea makampuni but wako kwenye hizo industry....

na wengine wengi.....

wewe jiulize

who own

whitedent
dabaga
asas
polytank
simtank..
zanair
eagle air
precision air
superdoll

na kadhalika
 
For Tanzania you will never get to know who is the richest person most of these people who we are pointing out as richest in our country, in fact they are the first people to evade paying taxes their businesses are not open I am not sure about there financial audited reports, they do not disclose how much profit they made per year even if they give us the figures I doubt whether the figures will be true.
 
For Tanzania you will never get to know who is the richest person most of these people who we are pointing out as richest in our country, in fact they are the first people to evade paying taxes their businesses are not open I am not sure about there financial audited reports, they do not disclose how much profit they made per year even if they give us the figures I doubt whether the figures will be true.

anther weak point on CCM govt!!:mad2:
 
zakaria----korie cooking oil,murzah oil. siko sure sana...

shah.-----shellys pharmacetical.......

ally ushum-------oilcom

balhabou-----tiot......

naweza kosea makampuni but wako kwenye hizo industry....

na wengine wengi.....

wewe jiulize

who own

whitedent
dabaga
asas
polytank
simtank..
zanair
eagle air
precision air
superdoll

na kadhalika

kamal z. shah ni chairman wa sumaria group ambayo inamiliki shellys and beta health care, simtank, nyanza bottling na simba plastic ltd ambayo inatengeneza vitu mbalimbali vya plastic.
hiyo shah family sasa hivi ni third generation na hiyo familia nzima ya shah ina share kwenye hiyo sumaria group sijui wako wangapi.
shellys na beta healthcare ya kenya ni part ya group ambayo inaitwa shellys africa, shellys africa. shellys africa inamilikiwa 40% na sumaria na 60% inamilikiwa na Aspen.
kwa hiyo inabidi uwe mwangalifu sana kwa ajili ni vigumu kujua % ya shareholding na watu hawako open
hata gulam dewji METL sio ya kwake yote kuna shareholders
 
1s s bakhresa
2.zakaria
3.dewji
4.shah
5.menek
6.ally ushum
7.balhabou
8.........
je na hawa wazawa hawana kitu au umewasahau

1. reginald mengi - north of TZ coca cola franchise holder +KL water (bonite bottlers), kwanza bottles minority shareholders coca cola, crdb 6%, NICOL shareholder, vicoba, ippmedia
2. ally mafruki - infotech, woolworth
3. idd simba - anakopesha masikini pride tz
4. michael shirima - precision air, etc
 
1. Sir Chande : Chairman (Kioo Ltd) and Co.

2. Rostam Aziz : Caspian + VodaCom (T)

3. S S Bhakresa :

4. Michael Shirima : Precision Air

5. Nimrod Mkono : Chairman (Bank M)

6. Yogesh Manek : Chairman (Akiba Commercial Bank) + Other co

7. Regnald Mengi/Ali Mufuruki/Edward Lowassa/e.t.c

8. Shah's

9. OilCom's

10. Baba_Enock
 
1. Sir Chande : Chairman (Kioo Ltd) and Co.

2. Rostam Aziz : Caspian + VodaCom (T)

3. S S Bhakresa :

4. Michael Shirima : Precision Air

5. Nimrod Mkono : Chairman (Bank M)

6. Yogesh Manek : Chairman (Akiba Commercial Bank) + Other co

7. Regnald Mengi/Ali Mufuruki/Edward Lowassa/e.t.c

8. Shah's

9. OilCom's

10. Baba_Enock

Hawa jamaa ndio matajiri nambari moja Tanzania bank account zao zina pesa Chenge haoni ndani mara 1,000 nasema hayo kwa uhakika!!!!:mad2:
 
1. Sir Chande : Chairman (Kioo Ltd) and Co.

2. Rostam Aziz : Caspian + VodaCom (T)

3. S S Bhakresa :

4. Michael Shirima : Precision Air

5. Nimrod Mkono : Chairman (Bank M)

6. Yogesh Manek : Chairman (Akiba Commercial Bank) + Other co

7. Regnald Mengi/Ali Mufuruki/Edward Lowassa/e.t.c

8. Shah's

9. OilCom's

10. Baba_Enock
ni exim sio akiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom