Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 302
Mkuu naona apo pazito kwa maana kwetu matajiri wetu kuna mafisadi, majambazi, wauza madawa ya kulevya, vilevile waliochuma utajiri kwa nguvu za halali na waliorithi mali kwa wazee wao, ila kwa kutajwa humu mkuu inakuwa ngumu, naona kule kwa Waganda umetuwekea mambo saafi, kwa ndugu zetu wa Kikenya kidogo umetumwagia walau wachache ila hapa nyumbani ndio hujatupa data zozote? Binafsi nadhani Top ten ya kwetu ina mafisadi (waheshimiwa wastaafu) na familia zao at least in top 5 out of ten.Katika baadhi ya nchi, utajiri wa mtu si wa kificho na huwa kuna listing zinazoonyesha matajiri mbalimbali na kiasi cha mali walizonazo. Yeyote ambaye ana facts za nani anaweza kuwa tajiri wa kwanza Tanzania anaweza akamwaga facts hizo hapa na chanzo cha utajiri wake.