Tanzania tupo wapi na nini hatima yetu

nakumbushia tu

New Member
Feb 8, 2012
1
0
Salaam kwa WanaJamii Forum wote na nashukuru kwa kunikaribisha.

Nimevutiwa sana na mtandao huu kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kuzingatia taratibu na uhuru wa mawazo.

Naomba kwa kutumia Jukwaa hili tufanye mjadala wa kina utakaoweza kuweka bayana TASWIRA ya nchi yetu kwa sasa. Hebu tujiulize tumefikaje hapa na je tutafika?. Tunaacha urithi gani kwa kizazi kijacho. Nchi inayumba kwelikweli huku tukijipa moyo kwamba tungali imara. Tupo wapi na nini hatima yetu?
 
Back
Top Bottom