Tanzania tunaibiwa: Benno ndulu atueleze vizuri

Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
987
349
WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu unatisha. Hii naisema kwa sababu nyumba ya Governor wa fedha ilighalimu $1M na haiwezi kuwa hata robo ya ubora na uzuri wa jengo hili. Hivi kwanini tumefikia level hii ya wizi usio aibu?

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambgalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China (PICHA NA IKULU)
 
kamsome tena mkuu, hiyo figure yako sio yenyewe.................. kama sikosei gharama za jengo hilo ni zaidi ya bil 200 za bongo............... sasa convert mwenyewe kwenye USD..................
 
WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu unatisha. Hii naisema kwa sababu nyumba ya Governor wa fedha ilighalimu $1M na haiwezi kuwa hata robo ya ubora na uzuri wa jengo hili. Hivi kwanini tumefikia level hii ya wizi usio aibu?

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambgalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China (PICHA NA IKULU)

Penye red!!!!!!!! jamaa hajataja ni dola million ngapi na katika mazingira ya kawaida huwezi ukajenga jengo kama hilo kwa dola millioni moja ambayo ni sawa na Tshs 1.6Billion. Tafakari kabla hujaanza kulalamika mkuu
 
20789195224487118f6aojy1.jpg

au.jpg

3414914439_a1166d7124_o.jpg

3414914497_8ddc4c757c_o.jpg
 
Tatizo tunatengenezana kuwa walalamishi tu,
Yani nikuleteana na kukalamika tu hatusuguani vichwa kwa hoja na kuelimishana humu...

A brain sometimes is like an empty bottle , whatever you fill is what it is going to occupy.... Upupu tu huna ushahidi unakurupuka tu unaleta humu....hebu tujitahidi tuelimishane mambo ya msingi
 
WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu unatisha. Hii naisema kwa sababu nyumba ya Governor wa fedha ilighalimu $1M na haiwezi kuwa hata robo ya ubora na uzuri wa jengo hili. Hivi kwanini tumefikia level hii ya wizi usio aibu?

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambgalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China (PICHA NA IKULU)

Nyumbu unauhakika hauna hang-over kweli?hebu kunywa supu kwanza then urudi jamvini!
 
Back
Top Bottom