Tanzania tunahitaji megawat ngapi za umeme?

HIMO ONE

Senior Member
Sep 6, 2010
128
7
WADAU UMEME UMEKUWA MTAJI MKUBWA WA MAFISADI ,VIONGOZI WETU WAMETAJIRIKA KUTOKANA NA UMEME NA MATATIZO YANAONGEZEKA KILA SIKU KUTOKANA NA UMEME NAOMBA UJADILI NA TUTOE MAPENDEKEZO MBADALA KWA HILI

IPTL WANAZALISHA MEGAWATI NGAPI?
TANESCO WANAZALISHA MEGAWATI NGAPI?
DOWANS ,AGREKO NA WENGINE WANAZALISHA MEGAWATI NGAPI?

NA KWA JUMLA TUNAHITAJJI MEGAWATI NGAPI?

kikwete na serikali yake wana mbadala wa tatizo hili?
 
Kwa kumbu kumbu zangu mitambo ya AGREKO iling'olewa siku nyingi kutoka pale Nyakato, Mwanza kwenye yard ya TANESCO ilipokuwa imefungwa, sina hakika ilipelekwa wapi. Hawa hawapo tena kwenye mahesabu ya uzalishaji.
 
Tanzania's interconnected grid system has an installed capacity of 773MW, of which 71% is hydropower. The largest hydropower complexes are the Mtera and Kidatu Dams and they are situated on the Great Ruaha River. The Mtera Dam is the most important reservoir in the power system providing over-year storage capability. It also regulates the outflows to maintain the water level for the downstream Kidatu hydropower plant. Thermal generation in Tanzania currently relies on imported Heavy Fuel Oil (HFO); Jet A (aviation) fuel and diesel.
The installed capacity of the hydropower facilities are: - the Kidatu power station, which has the capacity of 204 MW; - the Kihansi power station, which has the capacity of 180 MW; - the Mtera power station, which has the capacity 80 MW; - the Pangani power station, which has the capacity of 68 MW; - the Hale power station, which has the 21 MW; and - Nyumba ya Mungu, which has the capacity of 8 MW The total capacity of hydropower generation is 561 MW.
The installed capacity of the thermal power facilities are: - the Tegeta power station, is privately owned and operated by Independent Power Tanzania Limited (IPTL), possesses the capacity of 100 MW; and - the Ubungo power station, has been owned by TANESCO, but, operated by Songas until privatization in June 2004, has the capacity of 112 MW Tanzania also has around 30MW of thermal generation in isolated areas that are not connected to the grid.
Two private independent power projects (IPP's) which are connected to Tanzania's grid are IPTL (Independent Power Tanzania Ltd) with 100 MW installed capacity and SONGAS (Songo Songo gas project) which by the end of 2004 had 120 MW capacity, although more gas turbines would have been installed to increase the capacity to 200 MW before the end of year 2005. Tanzania also imports 10 MW of electric power for Kagera Region from Masaka substation in Uganda while Sumbawanga, Tunduma and Mbozi districts receive about 3 MW from neighbouring Zambia. Bulk supply of electricity is made to Zanzibar from Ras Kilomoni substation at the Indian Ocean coast in Dar es Salaam.
There are several diesel generating stations connected to the national grid in Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Dodoma, Musoma and Mbeya. These possess an installed capacity of 80 MW but they effectively contribute about 35 MW due to running problems. Some regions, districts and townships are dependent on isolated diesel - run generators (Kigoma, Mtwara, Lindi, Njombe, Mafia, Mpanda, Tunduru, Songea, Liwale, Ikwiriri, Masasi and Kilwa Masoko). These have installed capacity of 31 MW but they effectively contribute about 15 MW due to aged machinery and lack of spare parts.
The output from generation plants is transmitted and distributed to mainland Tanzania with the following transmission lines: - 2,986 Kilometres of 220 kV transmission line - 1,971 km of 132 kV lines - 554 km of 66 kV lines
Majority of the population that receive electricity live in urban areas, and are concentrated in Dar es Salaam. The city consumes about 50 percent of power generated, while rural areas only receive a small portion of power. By the end of November, 2004 only 18 district headquarters were yet to receive electrical power, namely, Ngorongoro, Simanjiro, Ludewa, Biharamulo, Ngara, Serengeti, Kasulu, Kibondo, Urambo, Ukerewe, Utete, Namanyere, Bukombe, Uyui, Kilolo, Mbinga, Namtumbo and Kilindi.
Plans are underway to electrify Biharamulo, Ngara, Serengeti, Ukerewe, Urambo and Rufiji by 2005 while funds have already been secured for electrification of Bukombe, Kilindi and Simanjiro district headquarters before the end of 2006.
The country faces a major challenge of providing 90 percent of the remaining population access to electricity. This requires huge investments, hence the need for both international and local investors to participate in expanding the country's power sector. As the country is becoming more and more focused on providing electrical power, the need for new capacity is increasing rapidly. By the end of 2004 the maximum demand was 510 MW and was expected to increase to 600 MW by the end of 2005 in the case of power sector expansions.
 
kama nimekuelewa sos
kwa sasa tuna megawat 773 ambapo asilimia 71 zinatokana na maji
kidatu wanazalisha 204mw
kihansi 180mw
mtera 80mw
pangani 68mw
hale 21 mw
nyumba ya mungu 8mw

jumla ya umeme wa maji ni 561 mw

iptl 100 mw
songas 120 mw
masaka uganda 10 mw
zambia 3 mw
mitambo ya dieseli 35mw
majenereta 15 mw
 
mbona megawati za DOWANS na kaka yake RICHMOND sijaziona hapa ???
 
Huna haja ya kujua unahitaji ngapi, muhimu tu hata ukipata ngapi, HAZITOSHI, mgao ni lazima kila baada ya muda ili maamuzi fulani fulani muhimu wakati huo yapitishwe na vichwa ambavyo vitasemekana havijatulia
 
Ninacho jua mimi, Kuna mradi wa umeme wa Upepo Makambako na utazalisha Megawatts 100 kama zinazozalishwa na IPTL. Mradi huo unahitaji US $ 150 Mill.

Kuna mradi wa umeme wa Upepo utakaojengwa singida kwa gharama ya US 180 na utazalisha MG 50. Nimesahau IPTL Unaendeshwa kwa gharama gani kwa sasa kwani unatafuna diesel kama jini.

Wachina watajenga umeme wa kuzalisha MG 600 Ludewa Iringa Mchuchuma na Liganga project sina hakika kwa gharama gani, japokuwa uchimbaji wa makaa ya mawe kama mradi utatumia US D 4billion. Jumla chuma na makaa ya mawe mradi utatumia US D 11 Billion.

Lakini nimeangalia katika mtandao na kugundua wajurumani wana technologia ya kuzalisha umeme wa upepo, gharama ya mashine moja ya kuzalisha mg 10 haizidi Ero 1millio. Hiyo ni kama shilingi 2.6 billion. 2.6 x 100 = 260billion Shs or 230million US D. 10MG X 100 = 1000 MG. Hivyo jumla ya megawatts 1000 za umeme wa upepo unaweza kununua kwa shilingi bilioni 260.

Dowans wanadai bilion 94 za zawadi. Dr. Iddrissa Rashid aliomba serikalini shiling 3trillion ili arekebishe umeme tanzania.

Mimi ningelipewa naafasi ya kumaliza tatizo la tanesco ningelibinafsisha shirika la tanesco ili kampuni moja ifanye kazi ya usambazaji na iwe inashughulina na gridi ya taifa. Makampuni binafsi yangeliruhusiwa kuzalisha umeme bila kuharibu mazingira na kuuza kwa grid. Makampuni mengine ya wazawa tu, yangelishughulika na kuingiza umeme majumbani, maofisini na viwandani au kwa wateja.

Gharama za umeme zingelishuka kwa zaidi ya asilimia 60.
 
asante sana umechambua vizuri
 
Total megawatts needed is 376!!!!!

Kiwango ulichotaja hapo si cha nchi yetu, labda Uganda - kwetu hapa bongo, pamoja na mgawo unaoendelea, kwa siku za karibuni tu ilikuwa inahit 800 + during peak hours. Hivyo basi endapo kila aliyeunganishwa angelikuwa anapata umeme na kuutumia sina shaka yoyote demand inavuka 1000 wakati wa piki na hiyo ni kwa walioungwa kwenye Grid tu.
Mahitaji ni makubwa sana, hizo 300 MW za nssf kama zitaingia sokoni kweli zinaweza zisilete tofauti kubwa kiasi cha kumaliza mgawo kama wanavyotabiri.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Na je ni sheria zipi kama zipo sijui zinazoregulate kampuni binafsi katika kuuza umeme kwenye grid ya taifa kuna project ilikuwa inaonyeshwa chanel ya discover nadhani ufaransa kuwa walidevelp project iliyoweza kuzalisha mega watt 8 kwa kutumia jua ambazo zingetoa umeme kwa familiya za huko kama 3500 na gharama ya kufix mitamo yote ilikwenda kama dolla millioni 35 je sisi hatuwezi ambapo tuna jua lakutosha kabisa
 
NSSF pia wanaingia uwanjani kufua umeme, at least hiyo ndio plan yenyewe.
Nadhani cha kuuliza, project nyingi zinazokuwa na wawekezaji wageni ndio huongea in terms of billions TSH, mfano, juzi Minister of viwanda (I think) visited India to solicit investments na moja ambayo itakuja kwenye sector ya Chuma inawekeza 35 tp 40 Billion TSH. Je watanzania haya mambo hatuyawezi wenyewe? Hapa JF kila mara mtu anaulizia ideas kwani anayo 10M, 15Mil, 50Mil na wengine hata kwenye hundreds of millions. Assuming kuwa kama hawa wapo wengi, je mechanism ya kuwaunganisha na kuwa na investment kubwa kama hizi haiwezekani? ICT imekomaa, Legal processes zinazohusu biashara zipo, Auditing inafanywa tu na makampuni ya kuaminika, kweli badala ya kuwa ideas ni kufuga kuku, kujenga kiofisi, kujenga nyumba za kupanga hatuwezi kuchukua hizi opportunities wenyewe, profits zibaki humu humu nchini? simu tumetumia 500+ Billion TSH in 3 months, profits kiasi kikubwa ni returns za investors wa nje, hence hiyo pesa inaondoka, TTCL najua kuna ishu kama maandishi yanavyobaini kwenye threads humu JF, lakini, je local investors (Sio wa kununua HISA tu) hawawezi miliki such businesses?
 
Kuna ripoti iliyokua inahusiana na Stiegler's Gorge,ilisema kua uzalishaji wa umeme katika gorge iyo unaweza kutoa 2100MW;kiwango ambacho kimevuka mahitaji ya umeme ya TZ yote,kiasi kwamba TZ inaweza kuuza nje ya nje umeme mwingi kabisa.

Hivyo naeza sema kua mahitaji ya umeme kwa TZ hayajavuka 2100MW.
 
Hivi Cost ya kutengeza HEP Dam ni kiasi gani?

Maana naona izo hapo juu ni zile za enzi za Mwalimu. Hawa wengine niaje aisee?

au ndo wanawaza (i think wanaota) Nuclear?
 
Back
Top Bottom