Tanzania tunahitaji marekebisho ya katiba sio katiba mpya

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
NAAMINI TUNACHOHITAJI NA MAREKEBISHO YA KATIBA NA SIO KATIBA MPYA KAMA WANASIASA HASA WA UPINZANI WANAVYOSEMA NA KUSHIKIA BANGO

SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO AU MABADILIKO YA KATIBA

NAAMINI TUNAHITAJI MIAKA KUMI AU KUMI NA TANO KUWAELIMISHA WATANZANIA KWANZA KUHUSU KATIBA ILIYOPO SASA AMBAYO MNAIITA YA ZAMANI HALAFU KUWAELIMISHA JUU YA MCHAKATO WA KUIPATA KATIBA MPYA ,HALAFU MCHAKATO WA HIYO KATIBA MPYA UANZE INAWEZA KWENDA MIAKA ISHIRINI

SERIKALI YA CCM IKO TAYARI KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE KATIBA NA HILI KWANGU NDIO LA MUHIMU SANA NAFIKIRI MAREKEBISHO KAMA YA TUME YA UCHAGUZI,MAMLAKA YA RAISI YANGEFANYIKA HARAKA KABLA YA KUSUBIRI HIYO MIAKA MINGI YA KUANDAA KATIBA MPYA

WATANZANIA LAZIMA TUKUBALI MABADILIKO YA KUMI NA TANO YA KATIBA NA TUACHANE NA AJENDA YA KATIBA MPYA KWANI HII ITACHUKUA MUDA MREFU NA ITAHITAJI FEDHA NYINGI SANA SERIKALI HAIKO TAYARI KWA HILO,MAREKEBISHO YA MAMBO MUHIMU KAMA ILIVYOFANYIKA ZANZIBAR ITATUSAIDIA KULIKO KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA AMBAO UTACHUKUA MIAKA MINGI

KWANI HATA UKIANGALIA KATIBA YA SASA HAINA ARTICLE INAYOZUNGUMZIA JINSI YA KUTUNGA KATIBA MPYA HILO NALO TUNAHITAJI LIFANYIKE kWANZA NA NDIO WATANZANIA TUJUE PA KUANZIA

TUWE WAVUMILIVU MAMBO MAZURI TARATIBU
 
Ni kweli watanzania wengi hawajui hata katiba ya zamani wanalilia katiba mpya ya nini?lazima tufanye marekebisho muhimu kwanza kama tume ya uchaguzi,uteuzi wa ma rc na dc na viongozi wengine kama wa takukuru,uteuzi wa majaji haya kwanza yaondolewe kwa raisi then katiba mpya baadae kwa utaratibu na umakini sio kukurupuka
 
SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO AU MABADILIKO YA KATIBA

kaoge uchafu wa ubinafsi, dhuluma, umamluki na ukandamizaji wa wazalendo ........halafu tutakuandaa wewe kuwa mwadilifu na mpenda nchi
 
kaoge uchafu wa ubinafsi, dhuluma, umamluki na ukandamizaji wa wazalendo ........halafu tutakuandaa wewe kuwa mwadilifu na mpenda nchi

bangi ni dawa ukitafuna ila ukivuta unakuwa kama wewe
 
katiba mpya ni lazma, hakuna mjadala tena wa kwamba tunahitaji marekebisho tu au mpya...
 
Tunapo zungumzia suala la katiba mpya hatutaki watu wakurupuke from no sense. Itambulike suala la katiba mpya ni muhimu na haliitaji kusuasua tena. Siasa n i maisha ya kila mtanzania na katiba ni nguzo mama ya sheria na taratibu nchini,

suala siyo watanzania hawaitambui katiba, wala kuiona. Watanzania hajuwi hata kilchpo ndani ya katiba ya sasa wala namana ambavyo wao kinawaathirije. Kinachotakiwa kufanyika ni kuuandaliwa mchakato wa namna ya kuipata katiba mpya ikiwa ni pamoja na kutoa elimu sahihi kwa wananchi juu ya katiba mpya. Tunatambu kuwa viongozi wasio wazalendo na maisha yetu ya leo na kesho hawapendi kusikia hata dutu ya sauti ikitamka juu ya katiba mpya.
kama tz itachelea upatikanaji wa katiba mpya, kwa uroho wa mafisadi wahujumu uchumi wachache itambulike kuwa nnchi hii haitakailika katu.
 
NCHI HII ITAKALIKA KWA HALI YOYOTE KWA KATIBA HII AU MPYA NCHI HII HAITATELEZA HATA SIKU MOJA USILETE BANGI HAPA

NIMESEMA ISSUE YA KATIBA MPYA ITACHUKUA MUDA MREFU SANA SANA MAANA HATA KATIBA YA SASA HAITOI MUONGOZO WA KUUNDWA KATIBA MPYA SASA MNAANZIA WAPI NI LAZIMA BUNGE LIFANYE MAREKEBISHO YA 15 ILI UTARATIBU WA KUUNDA KATIBA MPYA UWEKWE NDANI YA KATIBA YA SASA

MIMI NASEMA KATIKA MAREKEBISHO HAYA YA KUMI NA TANO BASI MASALA YOTE YA MUHIMU YAGUSWE,MAMLAKA YA RAISI,TUME YA UCHAGUZI ,UMILIKI WAARDHI,SWALA LA MUUNGANO,UHURU WA MAHAKAMA NA PARLIAMENTARY SUPREMACY YAANGALIWE SASA SIO KUMPA KIKWETE MUDA WA KUANDAA TUME MIAKA MITANO,TUME KULETA MAPENDEKEZO MIAKA KUMI MAPENDEKEZO YANAKATALIWA UPUUUZI MTUPU

TUFANYE MAREKEBISHO MUHIMU NDIO MCHAKATO WA KATIBA MPYA UENDELEE

tuwe wavumilivu
 
"SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO AU MABADILIKO YA KATIBA." Haya hayaelekei kuwa maneno ya Mtanzania. "Huamini kwamba watanzania wameandaliwa,"which means wewe humo.Anyway hata mjinga angeweza kutambua kwamba katika miaka ambayo TANU/CCM imekaa madarakani ingeweza kuwaanda wananchi kwa mambo mengi ya msingi yanayowahusu,pamoja na kuielewa katiba.The truth is, chama kilichoko madarakani haki kuwa na nia na hakina nia ya kuwafanya watanzania kuwa literate katika mambo yanayo wahusu kwa vile kufanya hivyo ni kujichimbia kaburi.Lakini onyo langu kwako na watu wengine wa aina yako ni kwamba michezo michafu ambayo mmeicheza kwa miaka mingi sasa imefika mwisho.Leo ni Tunisia,Misri na Yemen,kesho itakuwa Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
 
NAAMINI TUNACHOHITAJI NA MAREKEBISHO YA KATIBA NA SIO KATIBA MPYA KAMA WANASIASA HASA WA UPINZANI WANAVYOSEMA NA KUSHIKIA BANGO

SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO AU MABADILIKO YA KATIBA

NAAMINI TUNAHITAJI MIAKA KUMI AU KUMI NA TANO KUWAELIMISHA WATANZANIA KWANZA KUHUSU KATIBA ILIYOPO SASA AMBAYO MNAIITA YA ZAMANI HALAFU KUWAELIMISHA JUU YA MCHAKATO WA KUIPATA KATIBA MPYA ,HALAFU MCHAKATO WA HIYO KATIBA MPYA UANZE INAWEZA KWENDA MIAKA ISHIRINI

SERIKALI YA CCM IKO TAYARI KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE KATIBA NA HILI KWANGU NDIO LA MUHIMU SANA NAFIKIRI MAREKEBISHO KAMA YA TUME YA UCHAGUZI,MAMLAKA YA RAISI YANGEFANYIKA HARAKA KABLA YA KUSUBIRI HIYO MIAKA MINGI YA KUANDAA KATIBA MPYA

WATANZANIA LAZIMA TUKUBALI MABADILIKO YA KUMI NA TANO YA KATIBA NA TUACHANE NA AJENDA YA KATIBA MPYA KWANI HII ITACHUKUA MUDA MREFU NA ITAHITAJI FEDHA NYINGI SANA SERIKALI HAIKO TAYARI KWA HILO,MAREKEBISHO YA MAMBO MUHIMU KAMA ILIVYOFANYIKA ZANZIBAR ITATUSAIDIA KULIKO KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA AMBAO UTACHUKUA MIAKA MINGI

KWANI HATA UKIANGALIA KATIBA YA SASA HAINA ARTICLE INAYOZUNGUMZIA JINSI YA KUTUNGA KATIBA MPYA HILO NALO TUNAHITAJI LIFANYIKE kWANZA NA NDIO WATANZANIA TUJUE PA KUANZIA

TUWE WAVUMILIVU MAMBO MAZURI TARATIBU

Umetumwa nini?
 
Ni kweli kuipata katiba mpya itatuchuka zaidi ya miaka kumi?
Ni kweli kuwa serikali itafilisika kwa kuandaa katiba mpya?
Mabilioni mangapi yanapotelea mifukoni mwa watu?
Serikali iligharamia mamilioni kuileta timu ya Taifa ya Brazil sembuse serikali ione ubahili kugharamia swala nyeti kama katiba mpya?
Msipotoshe ukweli jamani.
Majirani zetu Kenya iliwachukua muda gani kupata katiba mpya?
kwanini tusijifunze kutoka kwao?
 
1-NI KWELI
2-HAITAFILISIKA ILA ITATUMIA FEDHA NYINGI
3-MABILIONI MENGI YANAPOTEA KUTOKANA NA SISI WENYEWE KUCHAGUA WEZI KAMA WATU WA IGUNGA NA MONDULI
4-TIMU YA BRAZILI ILILETWA MAALUMU KUKUZA UTALII WETU UNAJUA SEKTA HIYO IMEKUA KIASI GANI SASA?ANGALIA LIGI YA UINGEREZA UTAJUA
5-kwa pamoja

KATIBA HAIJATOA MUONGOZO WA KUANDIKA KATIBA MPYA ,LAZIMA BUNGE LIFANYE MAREKEBISHO YA 15 ILI KATIBA IWEZE KURUHUSU KUANDIKWA KWA KATIBA MPYA KERO KUBWA NAZO ZINGEBABADILISHWA SASA KULIKO KUSUBIRI TUME YA RAISI AMBAYO ITAFANYA KAZI KWA MATAKWA YAKE KWA MIAKA HATA ISHIRINI
 
elimu haiwasaidii kabisa watanzania, ona huyu naye masikini hajui hata maisha yake yanahitaji nini.
 
Back
Top Bottom