Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze
 
Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze
EL=JK (maswahiba mafisadi waliounda kampuni hewa ya Richmond inayotuumiza vichwa watz hadi sasa)...hatufai..!!!
 
Mkapa ni muhanga wetu siku zake zinahesabika.......alimuuwa jkn
mtu mmoja mwenye busara sana alipata kusema walioshindwa kwenye uchaguzi wa kisiasa ni kama nyati aliyejeruhiwa Jk umewajeruhi chadema wako tayari kukusingizia mengi hata ambayo yalitokea awamu zilizopita. hakuna anayetaka kumgusa Mwinyi wala Mkapa kila baya ni wewe tu. Hizi ni dalili za mtu aliyeanza kupoteza kufikiri vema.
 
ili rais wenu awafikishe kokote lazima ajue anakotaka kuwapeleka; lakini bahati mbaya sana rais wenu hajui alikotoka, alipo sasa wala wapi anakwenda!! Kama hali ndiyo hivyo ilivyo, unapouliza kama mtafika ni kuelekea wapi?

tatizo ni kuchagua rais ambaye si mzalendo namwenye uchungu na nchi yake
 
Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze

lowasa atakuwa ni zaidi ya janga maana akiingia tu atataka kwanza arudishe hela alizochangia makanisani then ndo aanze ule wizi wake wa kawaida
 
Alimtembelea Maximo juzi akiwa brazil! akapewa na jezi! nahisi maelekezo ya fundi (mganga) wake yako kwenye jezi, anayo ya maxmo, madrid, new castle, thabeet, droga, stars nk
 
Kwa Tanzania, Je hakuna njia ya kumuondoa raisi madarakani bila kutumia nguvu? Hapa ni 2012 na hali ndiyo hii, mpaka 2015 mbona cha moto tutakiona?
 
Rais wa NEC sio wa Tanzania
Mimi nasema anayajua! Kuhudhuria misiba yote atakayopewa taarifa na kutoa rambirambi kubwa, kushitaki wanaomlalamikia kwa wazee wa Dsm, kuhakikisha mwezi hauishi anakuwa amesafiri walau mara 2-3 nje ya nchi kuandaa makao in case mambo yamekuwa mabaya pale Magogoni kiongozi wa nchi asipate taabu
 
wadau kwa sasa ni ngumu kufaya maamuzi kwasababu watanzania ni waoga na wengi hatuna uelewa. kinachotakiwa ktk uchaguzi ujao tuhakikishe chama tawala hakikai madalakani kiingie chama chochote na sio ccm
 
Back
Top Bottom