Tanzania tuna medali ngapi olimpiki mpaka sasa?

Ebwana naskia tumeshatia mkononi moja ya fedha, mashindano ya Karate tumemchapa mchina.
 
Leo nimewaona Watalii wetu London................... wa kwanza kashika nafasi ya 33 wa pili kawa wa 66 kama sikosei!!! Hizo pesa bora wangenunulia madawati badala ya kuwapeleka watalii............. na kupeperusha bendera wangetumia watu wa ubalozini kusevu gharama.
 
Back
Top Bottom