Tanzania tuiunge mkono Iran katika mpango wa Nuclear

Wawekezaji kama Barrick walikuwa na mpango mahsusi wa kuzalisha umeme wa 300 MW Mnazi Bay ambao ungetatua matatizo ya umeme Tanzania once and for all, lakini hatimaye waliamua kujitoa sababu Kleptocrats Serikalini kupitia Tanesco walianza kuwaletea mizengwe ya kutaka ulaji.

Revealed: $300mn electricity scandal

2009-03-22 10:26:58
By Staff Writer

As the public electricity power supply utility, Tanesco struggles with bail-out plans in order to avoid major power shedding expected to hit the nation by September this year, fresh details have emerged showing how the cash-strapped company missed a $300million power deal due to greed and battle for the control of big money running into billions of shillings.

According to details from the financier - Barrick Tanzania - the project was suspended early in January this year after Tanesco - Tanzania Electricity Supply Company - failed to adhere to the financing conditions issued in order to ensure that the billions are not swindled by some corrupt top officials within the state-owned company.

Barrick Tanzania had agreed to finance the $300million Mnazi bay power project, which could have produced 300megawatts, and forestalled the looming power crisis.

According to inside information, Barrick Tanzania, being one of the potential clients of the proposed deal, was approached by Tanesco and Artumas through a Power Purchasing Agreement (PPA).

Under this arrangement, Barrick, as a prospective client was to consider the possibility of investing in a generating company, TanGen, and recover its investment through sale of power under the Power Purchase Agreement.

It is through this arrangement that Barrick Tanzania was ready to give the needed billions to finance the stalled project.

Investigations conducted by The Guardian on Sunday have established that earlier, Barrick Tanzania, being alarmed by the financial mismanagement within Tanesco, gave the latter a condition that the two should open a joint venture account in order to manage the Sh390billion($300million).

But for unknown reasons, Tanesco flatly rejected the proposal, insisting that it should be given full mandate to control the $300million.

However, the move was strongly rejected by Barrick which among other things questioned the intention of Tanesco of declining to operate a joint venture account with the financier.

A senior official from Barrick Tanzania who declined to be named citing the sensitivity of the current power debate told The Guardian on Sunday this week: ``I am surprised, they (Tanesco) are crying to buy $50million Dowans plants while they have failed to utilise a $300million deal from us…This is a shame.

``We were surprised to hear that Tanesco management wasn`t ready to agree with a very simple condition they were being given by Barrick…And this led us to think that perhaps there were hidden motives about our money.``

After failure to agree on how to manage the billions which is close to the company`s annual revenue collections, Barrick Tanzania`s management decided to stop financing the project, casting a bleak future on the country`s energy sector.

Surprisingly on February 21, this year, while tabling the financial recovery plan of Tanseco before the parliamentary committee responsible for overseeing all publicly owned corporations, the Company`s Managing Director, Dr. Idris Rashidi, told the committee that he wasn't aware why Barrick Tanzania pulled out of the project.

``This has come as a surprise to us because we banked our hopes on this project…we were shocked to learn that the financier had pulled out of the
project, `` the MD told the committee, indicating that he wasn't aware why Barrick had pulled out at the final stages.

But contacted for comment, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja said: ``I have already started a process to rescue the project…It is true that the negotiations hit a snag recently, but I am working on it.

``I have organised a meeting on March 25 at my office that will involve all concerned parties - Barrick, Tanesco and Artumas - to discuss how to rescue the plan.``

The Minister went on: ``You know that in any deal there`s always disagreement about contentious issues but that can be sorted out…I will ensure that the country gets the 300 megawatts electricity as planned."

The revelations come after three weeks of a verbal wrangle between prominent leaders, focused on accusations and counter-accusations over an alleged hidden agenda on the proposed 60bn/- Dowans takeover, a situation that has opened the floodgates of mudslinging politics.

The two parliamentary committees - the one led by legislator Kabwe and the other chaired by fellow legislator William Shelukindo - have strongly differed on the Dowans deal, raising a heated debate during the past few weeks.

The company currently purchases about 59 percent of its power from private producers, which according to financial details eats up to 83 percent of the total revenue collected annually.

With dilapidated infrastructure built mainly during the 1970s, the company`s power supply capacity is estimated at 595 megawatts.

This year, the actual demand is 787 megawatts - creating a deficit of 192 megawatts.

According to available details, the company has only 670,000 customers.

Last year, the company planned to increase its customer base by about 100,000, but the target couldn't be reached due to financial straints.

Still, based on the current economic growth, demand for electricity is estimated to increase by 15 percent annually, while the production capacity continues to dwindle due to various technical and non-technical factors.

Since there are no comprehensive power generating plans in 2010, the power deficit will surge to 300 megawatts, putting the country at risk of facing an even worse phase of power rationing.

Currently, the state-owned company needs about $200m for major repairs on its dilapidated infrastructure, but so far there's nowhere to get the money from.

Just two years ago, the company borrowed $300m from a consortium of local banks at 10 percent interest per annum, but almost 80 percent of that money was spent on settling outstanding debts.

Currently according to the inside details, Tanesco is on the brink of collapse due to the heavy costs of operations, largely attributed to capacity charges.

In 2004, the company paid 43/- to private power producers for every 100/- it collected in revenue. By 2006, when dubious government deals were made with private companies, that figure had more than doubled, to 104/- for every 100/- collected, according to the parliamentary committee presentation.

In 2007/08, the company spent 83/- for every 100/- it collected to foot the bill of power generated by private producers, but this year, the figures will soar even higher - to 106/- for every 100/- collected, according to the financial recovery plan seen by The Guardian on Sunday.

In other words, 83 percent of the total revenue collected by the state-owned utility company will go to private power producers, leaving the company in dire financial straits.

Over the past two years, the company`s revenue collection has spiked by 122 percent, reaching 437bn/-, a year up from 196bn/- in 2006.

Today, the company`s electricity loss - meaning the amount of energy lost when transmitted from point A to point B - is 24 percent, a staggering amount when compared to countries like South Africa where that loss is below 4.5 percent.

SOURCE: SUNDAY OBSERVER
 
You sound like technically you know nothing about UMEME WA JUA and other electrical power sources. Do you know that 240V at 200A is the same whether is coming from solar, wind, diesel, nuclear or chemicals etc..??? There nothing like umeme dhaifu or wenye nguvu. The issue is equipments capacities
Unajua kweli, umeme wa Jua unavyofanya kazi. Sitakupa maelezo ya kiufundi, ila nitakupa maelezo ya kiuchumi.

Kiufupi Umeme wa nyumbani wenye kutumia, taa 12 za 60watt, Tv, Jokofu na System ya mziki unahitaji takriban 7 milioni. Hapo sijazungumzia pasi, heater ya maji na jiko.

Heater ya maji, nilimnunulia mjomba wangu 7/2009 katika duka la solar karibu na KAMATA, Lita 80 na panel yake ilikuwa sh 2milioni. Hayo ni matumizi ya nyumbani.

Nitajie kiwanda hata kimoja kinachotumia Solar. Msibabaishe, mkitaka ninaweza kuwapa Data za kiufundi na kiuchumi. Halafu ndio utajiuliza katika utandawazi huu, ukitengeneza sukari yako kwa kutumia umeme ghali kama huo, na wenzio wanatoa sukari nje. Utadoda na sukari yako maana haitalipa.
 
Wawekezaji kama Barrick walikuwa na mpango mahsusi wa kuzalisha umeme wa 300 MW Mnazi Bay ambao ungetatua matatizo ya umeme Tanzania once and for all, lakini hatimaye waliamua kujitoa sababu Kleptocrats Serikalini kupitia Tanesco walianza kuwaletea mizengwe ya kutaka ulaji.

Revealed: $300mn electricity scandal

2009-03-22 10:26:58
By Staff Writer

As the public electricity power supply utility, Tanesco struggles with bail-out plans in order to avoid major power shedding expected to hit the nation by September this year, fresh details have emerged showing how the cash-strapped company missed a $300million power deal due to greed and battle for the control of big money running into billions of shillings.

According to details from the financier - Barrick Tanzania - the project was suspended early in January this year after Tanesco - Tanzania Electricity Supply Company - failed to adhere to the financing conditions issued in order to ensure that the billions are not swindled by some corrupt top officials within the state-owned company.

Barrick Tanzania had agreed to finance the $300million Mnazi bay power project, which could have produced 300megawatts, and forestalled the looming power crisis.

According to inside information, Barrick Tanzania, being one of the potential clients of the proposed deal, was approached by Tanesco and Artumas through a Power Purchasing Agreement (PPA).

Under this arrangement, Barrick, as a prospective client was to consider the possibility of investing in a generating company, TanGen, and recover its investment through sale of power under the Power Purchase Agreement.

It is through this arrangement that Barrick Tanzania was ready to give the needed billions to finance the stalled project.

Investigations conducted by The Guardian on Sunday have established that earlier, Barrick Tanzania, being alarmed by the financial mismanagement within Tanesco, gave the latter a condition that the two should open a joint venture account in order to manage the Sh390billion($300million).

But for unknown reasons, Tanesco flatly rejected the proposal, insisting that it should be given full mandate to control the $300million.

However, the move was strongly rejected by Barrick which among other things questioned the intention of Tanesco of declining to operate a joint venture account with the financier.

A senior official from Barrick Tanzania who declined to be named citing the sensitivity of the current power debate told The Guardian on Sunday this week: ``I am surprised, they (Tanesco) are crying to buy $50million Dowans plants while they have failed to utilise a $300million deal from us…This is a shame.

``We were surprised to hear that Tanesco management wasn`t ready to agree with a very simple condition they were being given by Barrick…And this led us to think that perhaps there were hidden motives about our money.``

After failure to agree on how to manage the billions which is close to the company`s annual revenue collections, Barrick Tanzania`s management decided to stop financing the project, casting a bleak future on the country`s energy sector.

Surprisingly on February 21, this year, while tabling the financial recovery plan of Tanseco before the parliamentary committee responsible for overseeing all publicly owned corporations, the Company`s Managing Director, Dr. Idris Rashidi, told the committee that he wasn’t aware why Barrick Tanzania pulled out of the project.

``This has come as a surprise to us because we banked our hopes on this project…we were shocked to learn that the financier had pulled out of the
project, `` the MD told the committee, indicating that he wasn’t aware why Barrick had pulled out at the final stages.

But contacted for comment, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja said: ``I have already started a process to rescue the project…It is true that the negotiations hit a snag recently, but I am working on it.

``I have organised a meeting on March 25 at my office that will involve all concerned parties - Barrick, Tanesco and Artumas - to discuss how to rescue the plan.``

The Minister went on: ``You know that in any deal there`s always disagreement about contentious issues but that can be sorted out…I will ensure that the country gets the 300 megawatts electricity as planned.”

The revelations come after three weeks of a verbal wrangle between prominent leaders, focused on accusations and counter-accusations over an alleged hidden agenda on the proposed 60bn/- Dowans takeover, a situation that has opened the floodgates of mudslinging politics.

The two parliamentary committees - the one led by legislator Kabwe and the other chaired by fellow legislator William Shelukindo - have strongly differed on the Dowans deal, raising a heated debate during the past few weeks.

The company currently purchases about 59 percent of its power from private producers, which according to financial details eats up to 83 percent of the total revenue collected annually.

With dilapidated infrastructure built mainly during the 1970s, the company`s power supply capacity is estimated at 595 megawatts.

This year, the actual demand is 787 megawatts - creating a deficit of 192 megawatts.

According to available details, the company has only 670,000 customers.

Last year, the company planned to increase its customer base by about 100,000, but the target couldn’t be reached due to financial straints.

Still, based on the current economic growth, demand for electricity is estimated to increase by 15 percent annually, while the production capacity continues to dwindle due to various technical and non-technical factors.

Since there are no comprehensive power generating plans in 2010, the power deficit will surge to 300 megawatts, putting the country at risk of facing an even worse phase of power rationing.

Currently, the state-owned company needs about $200m for major repairs on its dilapidated infrastructure, but so far there’s nowhere to get the money from.

Just two years ago, the company borrowed $300m from a consortium of local banks at 10 percent interest per annum, but almost 80 percent of that money was spent on settling outstanding debts.

Currently according to the inside details, Tanesco is on the brink of collapse due to the heavy costs of operations, largely attributed to capacity charges.

In 2004, the company paid 43/- to private power producers for every 100/- it collected in revenue. By 2006, when dubious government deals were made with private companies, that figure had more than doubled, to 104/- for every 100/- collected, according to the parliamentary committee presentation.

In 2007/08, the company spent 83/- for every 100/- it collected to foot the bill of power generated by private producers, but this year, the figures will soar even higher - to 106/- for every 100/- collected, according to the financial recovery plan seen by The Guardian on Sunday.

In other words, 83 percent of the total revenue collected by the state-owned utility company will go to private power producers, leaving the company in dire financial straits.

Over the past two years, the company`s revenue collection has spiked by 122 percent, reaching 437bn/-, a year up from 196bn/- in 2006.

Today, the company`s electricity loss - meaning the amount of energy lost when transmitted from point A to point B - is 24 percent, a staggering amount when compared to countries like South Africa where that loss is below 4.5 percent.

SOURCE: SUNDAY OBSERVER
Nikiwasikia hawa BARICK, napata kichefu chefu. Maana wanasifa mbaya sana hata sitaki wapate deal nyingine yeyote ile.

Kwa upande waangu nawaona kama wezi wasiowaheshimu watu weusi. Hawa hawafai kabisa.

Sheikh tafuta wawekezaji wengine.
 
Mkuu Zawadi, hapo ndio maana naona you are in another plane altogether.
Nishati ya nuclear si kama kutengeneza bwawa la Mtera na maji kutiririka.
Mtaji mkubwa wa nishati ya nuclear ni wasomi wa kutosha kuendesha vinu hivyo vya nuclear.
Hivi ni vinu vya kisomi.
Na usomi wenyewe lazima uanzie katika elimu.
Hivi Tanzania tuna mafundi mchundo wangapi katika hii field ya nuclear.Wahandisi na wana sayansi je?
Ni kujidangaya kurukia mambo ambayo hatuna uhakika nayo-sembuse kushabikia nchi ambazo hatujiu malengo yake kama Iran.
Ushabiki katika masuala kam haya yanawezekana tu katika debating clubs na si kwingineko.
Sawa, lakini si tuanze leo. La msingi ni kuwa na maamuzi kwanza ya kisiasa, halafu tunaendelea na ufunzaji na baadaye ni ununuzi wa mitambo.

Nafikiri tupo pamoja, kwani unachozungumzia ni process ambayo huchukua muda. Sikusema kuwa tununue mitambo leo na tupate umeme kesho, hapana. Ila ninachotaka ni kwa taifa kujipanga.
 
Nikiwasikia hawa BARICK, napata kichefu chefu. Maana wanasifa mbaya sana hata sitaki wapate deal nyingine yeyote ile.

Kwa upande waangu nawaona kama wezi wasiowaheshimu watu weusi. Hawa hawafai kabisa.

Sheikh tafuta wawekezaji wengine.

Ni wazi una tabia ya kutumia sana hisia badala ya reason kwenye hoja zako nyingi. Kwa sababu zilizotajwa kwenye hii habari, tatizo si credibility ya Barrick bali Serikali kutaka nguvu ya kudhibiti pesa zote za mradi.

Mi naona tukishindwa kila kitu itabidi tugavi umeme kutoka "tabasamu ngekewa" la JK. Au unanonaje Zawadi?

We could perhaps ask the Chinese to invent & supply cutting-edge nano technology that would allow us to harness 1000s of megawatts of raw power from JK's electrifying smile...as a last resort that is.
 
Unajua kweli, umeme wa Jua unavyofanya kazi. Sitakupa maelezo ya kiufundi, ila nitakupa maelezo ya kiuchumi.

Kiufupi Umeme wa nyumbani wenye kutumia, taa 12 za 60watt, Tv, Jokofu na System ya mziki unahitaji takriban 7 milioni. Hapo sijazungumzia pasi, heater ya maji na jiko.

Heater ya maji, nilimnunulia mjomba wangu 7/2009 katika duka la solar karibu na KAMATA, Lita 80 na panel yake ilikuwa sh 2milioni. Hayo ni matumizi ya nyumbani.

Nitajie kiwanda hata kimoja kinachotumia Solar. Msibabaishe, mkitaka ninaweza kuwapa Data za kiufundi na kiuchumi. Halafu ndio utajiuliza katika utandawazi huu, ukitengeneza sukari yako kwa kutumia umeme ghali kama huo, na wenzio wanatoa sukari nje. Utadoda na sukari yako maana haitalipa.
Unaposema umeme ghali, are you talikng about initial or running cost..??? Ni kweli kuwa kuna gharama kuanzisha solar power plant, lakini unasahau kuwa running running zipo chini sana ukilinganisha na hiyo nyuklia yako, diesel etc. More over Solar plant is harm free to enviroment... On the same direction think of nyuklia palnt yako. Do you know how much destruction do you cause when you spill just a liter of diesel/oil to enviroment..??? Msiongozwe na hisia....... Viwanda vya sukari vina other sources of power, eg Kilombero sugar company wanatumia "bagazi" kuzalisha mvuke (under preassure) ambao huendesha hizo machines. Not having solar plant in our country is NOT A JUSTIFICATION KWAMBA NI KWA SABABU YA GHARAMA.

Unapozungumzia gharama fikilia pande zote, some of them...
1. Initial cost - Investment costs
2. Running cost - maintenance, refuelling etc
3. ROI (Return On Investment) - break even time
4. Impact to environmet (nyuklia ikivuja tunauwezo wa kuidhibiti Diesel inatushinda, leakages everywhere)
5. What are the side efect of the system
6. Are we technically OK kuendesha hiyo mitambo..??? Jamani hiyo mitambo ya HEP kila kukicha yameharibika, think of kuharibika huko ndiyo nyuklia plant imevuja, TATAPONA..??? Wajapata na utajiri wao wote, hadi leo madhara ya nuklia bado yapo na ilitokea miaka hiyoooooooooooo..

By the way, solar plant is one of the alternative sources (renewable energy) we have not exhausted all we have to the maximum capacity.

MSIJITAFUTIE MAJANGA AMBAYO KUYADHITI HAMUWEZI.

Tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa huwa hatufikirii BY-product zetu tunazitumiaje in any production industry. Kwa mfano, kiwanda kama Kilombero sugar (K1 & K2) wanatumia mabaki ya miwa baada ya kuikamua katika 5 stages (K1). Kwa hiyo hata wabangua korosho nao wanaweza kufanya hivyo .... Wasindika matunda..... etc...ect...
 
Katika nchi zilizoendelea asilimia 80 ya umeme wao hutokana na Nuclear energy. Na katika chanzo hicho cha umeme ndio unaaweza kupata umeme rahisi na imara. Ni kitu cha ajabu sana hawa hawa watu wanapokuja kueleza maaendeleo katika nchi zetu, hufurahia tu pale wanaposema 5% tu ya watanzania wana acces ya umeme. Lakini kuja na maelezo ni jinsi gani wao waliondokana na adha hiyo hawapendi kabisa kujadili. Lazima tujiulize ni kwanini? Je wanatutakia mema?
Ninachofahamu asilimia kubwa ya umeme wa nchi nyingi duniani unazalishwa na coal power plants, apart from France ambayo ina nuclear power nyingi zaidi kuliko other sources. Labda ungelithibitisha uhalisi wa data zako
 
halafu hivi kweli kama tunashindwa ku manage thermal power plants ie gas, HFO na diesel, tutaweza kuendesha mitambo ya nuclear? Na corruption hii iliyopo lazima tutatengeza disastor kubwa kuliko ile ya Ukraine. Nuclear inataka watu serious..so far hatuna watu wa aina hiyo bado. Tuna watu wenye njaa na deal tu
 
Unajuwa huyu zawadi hajui madhara ya nyuklia..... Kuna makaa ya mawe mchuchuma....... hatufanya chochote.......... Kiwira wizi mtupu.......Liganga hakuna kitu........... ZAWADI KUBALI UKWELI HUU KUWA MADHARA YA NYUKLIA NI MAKUBWA KWETU KULIKO FAIDA ZAKE.
 
heshima mbele wakuu,

ni jambo la aibu sana kwamba tunashindwa kutatua matatizo yetu ,wakati shule tumeenda,know how tunayo,resources zipo za kutosha.Kwa nini wadau tusichukue jukumu na kuact badala ya kutegemea serikali .Kwa mfano akijitokeza mtu akainitiate ku-utilize hotsprings zetu kwa ajili ya umeme(geothermal),au kama muheshimiwa mmoja aliyejitolea kujaribu au kulifanyia kazi swala la umeme wa upepo pande za singida,naamini tukiacha kulalamika kila siku na kujihusisha direct na uzalishaji tutaona mafanikio makubwa sana.

Amani!
 
Jamani kwanini mnapindisha mada? isue hapa ni
"Tanzania tuiunge mkono Iran katika mpango wa Nuclear"
Naomba serikali ipingane na wamarekani na nchi za ulaya kwa kuiunga Iran mkono.....
Na sio kutatua tatizo la umeme Bongo
 
Unajuwa huyu zawadi hajui madhara ya nyuklia..... Kuna makaa ya mawe mchuchuma....... hatufanya chochote.......... Kiwira wizi mtupu.......Liganga hakuna kitu........... ZAWADI KUBALI UKWELI HUU KUWA MADHARA YA NYUKLIA NI MAKUBWA KWETU KULIKO FAIDA ZAKE.
Haya, mimi sijui madhara ya Nuclear, na hawa wenzetu Kenya je? Au mnataka baadae twende tukanunue umeme kwao. Au ndio zile habari za Nyerere kuwa siwezi kuuza uranium kwa nchi yeyote kwa vile ina madhara makubwa?

Hebu someni msimamo wa nchi ambayo itafanya muungano wa East African Union baada ya miaka michache, Kenya.

"Nuclear plant best option for Kenya power woes

Published on 05/10/2009

By John Oyuke
Kenya seems set for a significant expansion in the use of nuclear power to provide energy, feed the hungry and heal the sick.
This follows re-election of a Kenyan to join the board of the International Atomic Energy Agency (IAEA), after an absence of 26 years.
Kenya has also given a formal notification to the agency of its interest to introduce the technology.
Vice-President Kalonzo Musyoka said the country is adjusting its priorities to focus more on nuclear power and is seeking IAEA’s help to develop a national science and technology infrastructure.
The country has submitted a draft Country Programme Framework (CPF) for the period 2011 to 2016 to the Agency for comments.
Musyoka said the programme has addressed priorities set out in the Vision 2030 economic blue print including development, research, production and use of atomic energy for peaceful purposes."

Chanzo: The Standard.

Kwa hiyo kama nyie mna mawazo hayo, wenzenu wameshawakilisha barua ya kuruhusiwa. Inawezekana watanzania tunaakili sana, lakini tuelewe kitu kimoja uchafuzi wa mazingira hauna mipaka. Wakati sisi tunalinda mazingira na kuwa masikini, wenzetu wanachafua na kuwa matajiri na kutusaidia dola kwa mkopo na tukazilipa kwa riba kubwa. Huku wakijiita kuwa wao ni Smart.

Swali la kujiuliza, hivi kweli wao ni smart kuliko sisi? Kila mtanzania alijibu hili swali bila hasira katka mantiki kamili ya kiuchumi.

Unaposema umeme ghali, are you talikng about initial or running cost..??? Ni kweli kuwa kuna gharama kuanzisha solar power plant, lakini unasahau kuwa running running zipo chini sana ukilinganisha na hiyo nyuklia yako, diesel etc. More over Solar plant is harm free to enviroment... On the same direction think of nyuklia palnt yako. Do you know how much destruction do you cause when you spill just a liter of diesel/oil to enviroment..??? Msiongozwe na hisia....... Viwanda vya sukari vina other sources of power, eg Kilombero sugar company wanatumia "bagazi" kuzalisha mvuke (under preassure) ambao huendesha hizo machines. Not having solar plant in our country is NOT A JUSTIFICATION KWAMBA NI KWA SABABU YA GHARAMA.

Unapozungumzia gharama fikilia pande zote, some of them...
1. Initial cost - Investment costs
2. Running cost - maintenance, refuelling etc
3. ROI (Return On Investment) - break even time
4. Impact to environmet (nyuklia ikivuja tunauwezo wa kuidhibiti Diesel inatushinda, leakages everywhere)
5. What are the side efect of the system
6. Are we technically OK kuendesha hiyo mitambo..??? Jamani hiyo mitambo ya HEP kila kukicha yameharibika, think of kuharibika huko ndiyo nyuklia plant imevuja, TATAPONA..??? Wajapata na utajiri wao wote, hadi leo madhara ya nuklia bado yapo na ilitokea miaka hiyoooooooooooo..

By the way, solar plant is one of the alternative sources (renewable energy) we have not exhausted all we have to the maximum capacity.

MSIJITAFUTIE MAJANGA AMBAYO KUYADHITI HAMUWEZI.

Tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa huwa hatufikirii BY-product zetu tunazitumiaje in any production industry. Kwa mfano, kiwanda kama Kilombero sugar (K1 & K2) wanatumia mabaki ya miwa baada ya kuikamua katika 5 stages (K1). Kwa hiyo hata wabangua korosho nao wanaweza kufanya hivyo .... Wasindika matunda..... etc...ect...
Naona mwenzangu una B.Com toka UD. Nakupongeza kwa mahesabu mazuri na ya uhakika kwa kuzingatia vigezo vyote ikiwa pamoja na ROI.

Lakini kwa bahati mbaya katika maswala ya kiufundi bado wahitaji msaada. Nitajaribu kutoa muhtasari mfupi juu ya solar inavyofanya kazi.

Umeme wa solar unawezekana kupatikana moja kwa moja toka kwenye solar panel (baada ya mionzi ya jua kuangaza katika panel) mpaka katika chombo (taa, tv, pamp n.k).

Kama tujuavyo kuwa kuna usiku na mchana. Hivyo jua hatutegemei kulipata jua masaa 24. Huu ni ukweli usiohitaji utafiti. Vile vile katika masaa 12 +-, jua laweza kufunikwa na mawingu.

Pindi jua likosekanapo kama nilivyeleza hapo juu, ndio mwisho wa sherehe ya kupata umeme. Kutatua tatizo hili kunahitajika Bateria, ambazo zinakuwa charged mchana kwa ajili ya matumizi ya usiku na pindi jua likosekanapo mchana. Bateria ambazo hutoa DC -Curent ndio huwa chanzo kikuu cha kutegemewa sana katika utoaji wa umeme wakati wowote ule.

Ili kumudu umeme wa ndani tu tunahitaji bateri mbili mpaka 4 (kutegemeana na uwezo wa bateria hizo). Bateria ndio moja katika kikwazo kikubwa mpaka leo hasa pale tunapohitaji umeme mkubwa kama wa heater, pasi, jiko na 3 phase n.k.

Na kwa maana hiyo, ndio maana hata leo ukienda kununua heater ya maji unapewa ya direct, yaani toka panel mpaka tank (80L ni 2 milioni). Hii ina maanisha kwamba maji yanachemshwa mchana na pindi jua likatikapo basi ni joto lile la maji ndilo litatunzwa katika Tank mpaka asubuhi. Ni sawa na kuchemsha maji saa 12 jioni ukayatunza na kuoga saa 12 asubuhi. Kama wangetumia bateria basi, panel ingekuwa kubwa mara 10, na zingehitajika kama bateria 6-10. Hii ingefanya gharama ya solar heater ya familia moja kuwa zaidi ya 20 milioni.

Ukitaka kubadili toka DC kwenda AC unaweka Inverter.

Kwa habari zaidi za kiufundi tukutane katika upande "Teknolojia" nitatoa Thread yake J'mosi.

Kifupi ili upate umeme wa kuendesha kiwanda, sijui utafanya nini. Lakini ninavyofahamu Teknolojia ya Solar ambayo ilianzishwa na wamarekani mwaka 1950 (NASA), na ikitumika katika satelite bado haijakuwa sana kwa matumizi makubwa kama ya viwanda. Kwa Yeyote mwenye kufahamu kiwanda kinachotumia Solar, naomba awakilishe uthibitisho huo hapa JF. Kwani matumizi ya solar yako ya kawaida ktika, pump za maji za kawaida, Heater, magari madogo na vinginevyo (smal scale).
 
Ninachofahamu asilimia kubwa ya umeme wa nchi nyingi duniani unazalishwa na coal power plants, apart from France ambayo ina nuclear power nyingi zaidi kuliko other sources. Labda ungelithibitisha uhalisi wa data zako
Ni kweli usemayo! Basi anza kuthibitisha wewe. Mimi hizo data ninazo, lakini nimeacha kuzitoa kwani hapa JF hawapendi maneno ya takwimu.

Namba hazitakiwi, ila ukishatoa za kwako nami nitapata nafasi ya kumwaga zangu.
 
Back
Top Bottom