Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Ukisema haya watakuambia mnataka kutuletea siasa za "huko Marekani"!
Lakini hao hao serikali ikiboronga utasikia aah! hii hata marekani inatokea!!!!!
Ukisema haya watakuambia mnataka kutuletea siasa za "huko Marekani"!
Lakini hao hao serikali ikiboronga utasikia aah! hii hata marekani inatokea!!!!!
-- Kumbuka historia ya uhuru kule Egypt, ilianza na Nabii Musa hakupewa bure kwanza alianza kwa kuomba kistaarabu kwa Pharao na baadaye ndio ikaja bakora!, sasa tunaanza na kuwaomba viongozi wetu kistaarabu kwanza!
William.
- - Bongo tunahitaji this kind siku moja mtu mmoja kwenye Judicial System yetu afunge macho ale sahani moja na mkulu mmoja mpaka kieleweke, angalau mmoja tu inatosha kwa kuanzia!
William.
Nadhani na hao wana mengi ya kujifunza kwetu:
Tuesday, November 25, 2008
Mh. Mramba na Mh.Yona Mahakamani!
Waheshimiwa Daniel Yona na Basil Pesambili Mramba wakiwasili mahakama ya Kisutu leo (picha kutoka Michuzi Blog)
source: Swahili Time: Mh. Mramba na Mh.Yona Mahakamani!
Na wengine kibao wakae chonjo, Kikwete yuaja.
Malecela? au Malechela? Huna hoja.
- Yaaani hata Peru wanajitahidi na sheria, hata Indonesia isipokuwa sisi tu!
William.
Nadhani na hao wana mengi ya kujifunza kwetu:
Tuesday, November 25, 2008
Mh. Mramba na Mh.Yona Mahakamani!
Waheshimiwa Daniel Yona na Basil Pesambili Mramba wakiwasili mahakama ya Kisutu leo (picha kutoka Michuzi Blog)
source: Swahili Time: Mh. Mramba na Mh.Yona Mahakamani!
Na wengine kibao wakae chonjo, Kikwete yuaja.
Kama tukiwa serious..no one will still be holding their offices, either in opposition or the ruling party- Hapana mkuu unajua katika kazi yangu ya kila siku hapa New York City, huwa inanipa nafasi ya kufanya kazi kwenye Prison Systems zote za hapa Metro, infact huwa ninaiingia mpaka ndani wanakoishi inmates, jana nilikuwa kwenye prisons za Penn State na Trenton, NJ State, mle ndani nikamuona inmate mmoja aliyekua big politician zamani nikaongea naye sana na kumueleza jinsi kwetu watu kama yeye walivyo juu ya sheria, akacheka sana na kunitaka nimuombee ahamie bongo! ha! ha!
- However: nikatoka mle ninajiuliza how nice could it be kuwaona mafisadi wetu bongo wakiwa kwenye msoto kama yule mzee kwa kuvuruga trust ya wananchi na taifa!
William.