Tanzania to Halt Power Utility’s 41-Year Monopoly by Year-End

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Tanzania to Halt Power Utility’s 41-Year Monopoly by Year-End



By Ray Naluyaga
Aug. 12 (Bloomberg) -- Tanzania plans to enact a law allowing private companies to provide electricity in the East African nation by the end of the year, halting a four decade- long monopoly held by the Tanzania Electric Supply Company Ltd.
Tanzania will publish the Electricity Act, which enables other providers to generate power, in the government gazette by year-end, Deputy Energy Minister Adam Malima said on the sidelines of a conference in the commercial capital Dar es Salaam today.
“The private sector is more than welcome to invest by doing it alone or by partnering with the public sector,” Energy Minister William Ngeleja said at the convention.
Tanzania suffers from recurring power shortages due to insufficient investment in its electricity-generating capacity. The government approved a 300 billion-shilling loan for the state-owned power utility, known as Tanesco, to help it upgrade its infrastructure, Ngeleja said. The funds form part of a 1.95 trillion-shilling recovery plan announced in June, with the World Bank and Millennium Challenge Corp. contributing to the project.
Ngeleja said the government “was aware” of barriers which deter private capital from the industry and that it was changing its power-industry reform plan, first released in 1999, to make it more conducive to investment, he said.
To contact the reporter on this story: Ray Naluyaga in Dar es Salaam via Johannesburg on 1999 or pmrichardson@bloomberg.net
Last Updated: August 12, 2009 08:57 EDT

http://www.bloomberg.com/apps/news?pid=20601116&sid=a6RM0VylI4XM
 
This is more than a good news,hii itabadilisha hata mwelekeo wa taifa kwa kiasi kikubwa sana (for better)!
 
Ni nani anamtandao mkubwa wa miundombinu ya umeme? Hayo makampuni binafsi yatakiwe kutengeneza miundo mbinu yao au wailipe Tanesco Capacity charge. Tanesco ikatazwe kisheria kununua umeme binafsi bali iuze umeme inaozalisha na kama kuna kampuni inataka kuuza umeme kwa wananchi na haina miundombinu wao ndio wailipe tanesco gharama ya umeme wao kuingizwa kwenye gridi ya taifa na gharama ya kutumia miundombinu ya Tanesco!

haya ya janja ya nyani tumeshayasikia walipoamua kuruhusu uzalishaji binafsi wa umeme halafu wakaiweka Tanesco inunue huko.
 
dah!! how dumb are we it takes 40 years to figure out the obvius what about the not so obvious stuff . there is a need to be a separate energy servicing company to run and mantain infrastructure and people should be able to switch their utility providers just like they do with cell phones,tigo,voda you name it
 
jamani jamani mkisoma vizuri hii taarifa ina vitu vingi ambavyo vinaiweka nchi ktk hali mbaya zaidi.
Tatizo la nchi yetu chanzo chake sio kusambaza umeme ila ni vyombo vya kuvua Umeme (kuzalisha Umeme) vimeshindwa kutosheleza mahitaji yetu ktk bei nafuu..Sasa ikiwa tutaweka sheria ya shirika lolote kuzalisha umeme wakati Tanesco sio wazalishaji ila ni wasambazaji tutakuwa tunatafuta mchawi kinyume.
Tanesco kama shirika hazalishi Umeme ila mashirika binafsi kina Songos, Richmond (Dowans) Watsila, na Hyro power plant za serikali.
sasa ikiwa hizi zote zime fail iweje leo lawama ipelekwe kwa tanesco ambaye kafungashia mikataba feki isiyoweza kuzaa matunda.
Kama alivyosema mwanakijiji, Uzalishaji Umeme uwe ni kazi ya Tanesco, shirika la serikali nalo liwauzie wasambazaji binafsi..kinachotakiwa kufanyika ni kubadilisha majukumu kati ya mashirika binafsi na tanesco. Sidhani kama tumepata somo zuri toka kwa Richmond kwamba mzalishaji anaweza kabisa kuliangusha taifa, tumeokosa umemem au tumekuwa na Upungufu wa umemem kutokana na visa vya wazalishaji na sio wasambazaji..
Songos wanatakiwa kuuza gas tu - finish. kazi yao imekwisha. Haya maswala ya wao kushika uzalishaji wa gas na umeme kunawapa nguvu zaidi kushika sehemu mbili za biashara wakati mmoja.
 
..... Mambo yatakua kama Cote d'Ivoire. Umeme unapatikana 24/7 lakini bei za umeme zitakua kama kama za Ufaransa... Bei ya umeme Cote d'Ivoire ni zaidi ya bei ujerumani!... Twendeni tu huko, Enron wangekuwepo bado, TZ would be a field day!
 
tatizo kubwa la usambazaji wa umeme ni kwenye miundombinu ya kusambazia hasa transmission line. tofauti na makampuni ya simu ambayo usambazaji wake ni wireless, kwenye umeme lazima ziwepo physical structures kwa ajili hiyo ambazo zitahitaji matengenezo na kadhalika. hiyo inaweza kusababisha gharama za usambazaji kuwa kubwa and hence bei kubwa ya umeme. But all in all itasaidia reliability na availability of power
 
hapa kunanukia harufu ya ufisadi. watu wenye uwezo wa ku-run kampuni binafsi si wale wale walioiba pesa za umma....hahaha! Au kama ni kampuni geni si ndo hizo zinakuja na bogus contracts. Tusipoangalia tutaliwa tu! Tutahijati uwazi sana katika swala hili. Umeme kitu muhimu sana - ndo maendeleo. Bila umeme Europe isingekuwa ilipo sasa. Probably the greatest invention/discovery of all time. Sasa ikiwekwa mikononi mwa mafisadi...itawapa nguvu.
 
This is only half the issue, the other half is the potential myriad of Richmonds.
 
Ni nani anamtandao mkubwa wa miundombinu ya umeme? Hayo makampuni binafsi yatakiwe kutengeneza miundo mbinu yao au wailipe Tanesco Capacity charge. Tanesco ikatazwe kisheria kununua umeme binafsi bali iuze umeme inaozalisha na kama kuna kampuni inataka kuuza umeme kwa wananchi na haina miundombinu wao ndio wailipe tanesco gharama ya umeme wao kuingizwa kwenye gridi ya taifa na gharama ya kutumia miundombinu ya Tanesco!

haya ya janja ya nyani tumeshayasikia walipoamua kuruhusu uzalishaji binafsi wa umeme halafu wakaiweka Tanesco inunue huko.

Ndugu yangu nakwambia inabidi tuwe makini kwa sababu hapo lazima maslahi binafsi yameisha pigiwa hesabu. Utasikia vijikapuni sijui vya upepo sijui vya jua lakini mwishowake utasikia vinaingia mkataba wa kuiuzia umeme tanesco.

Kama wanania ya kweli kulikwamua taifa na matatizo ya umeme basi hizo kampuni ziruhusiwe lakini, either zijenge miundmbinu yake au kama watatumia line za tanesco basi wailipe tanesco.
 
Back
Top Bottom