Tanzania to become eighth largest Uranium producer in the world

Pamoja na kwamba hiyo uranium watakaofaidika ni mafisadi wachache, wananchi walio wengi katika maeneo ya karibu wajiandae na side effects zake!! Hizi ndizo side effects za Uranium:

victim-of-du2.jpg

daaaah imnisikitisha sana..huko kote mbali pale North Mara uwepo wa mgodi wa Barrick umefanya watu wamekuwa na percentage kubwa sana ya heavy metals traces kwenye damu..lakini serikali yetu sikivu iko bize na kuweka court injunctions za migomo kulko ku deal na mambo ya style hii...
 
same stories as always be it 4th,3rd,2nd,1st we have nothing whatsoever to sherish about under the same rotten systems and institutional failures history speaks it all,leaders of today despite being well versed in contracts law to negotiate favourable contracts are no different to chief Mangungo of Msovelo who had no formal education yet he did exactly what our prominent leaders are doing today.what i fail to understand is why is it so hard for us to even copy from our neighbours whats the rush to mine the same i suppose its the 10% cut now under the circumstances its more likely to witness more tragedies as the case has been in north Mara.
 
... oh well... nngu007 umeona hii?

Niliogopa nilipoona IMF inatupa pesa za kutumia baadaye eti kama tukiwa na shida za fedha... haijawahi kutokea

Angalia Jinsi Greece, Spain, Italy wanavyoambiwa wakate matumizi ili wapate pesa... na sisi tunaambiwa pesa zimesha

ruhusiwa ni uamuzi wetu kama tunataka.... UH HAYA TUNASUBIRI
 
Bila institutions zilizo komaa haya madini yatakua janga kuliko baraka.
Ufisadi umetawala, na tusipo angalia na vita itafata. ona Congo jirani
Tayari ni janga Mwali. Nimeona picha (sikumbuki post gani) humu za waathirika wa maeneo ya kwenye migodi ya madini utawaonea huruma wananchi. Wanaharibu vyanzo vya maji, wanamwaga sumu zao ndani ya mito, watu, mifugo, mimea vinaathirika. Bado hivyo vita, na kwa mtindo huu....Mungu apishie mbali!
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni takwimu tu ila utajiri utaingia kwenye mifuko ya watu binafsi...Bullsh*t.
 
Tayari ni janga Mwali. Nimeona picha (sikumbuki post gani) humu za waathirika wa maeneo ya kwenye migodi ya madini utawaonea huruma wananchi. Wanaharibu vyanzo vya maji, wanamwaga sumu zao ndani ya mito, watu, mifugo, mimea vinaathirika. Bado hivyo vita, na kwa mtindo huu....Mungu apishie mbali!

BTW, hii mada tayari ilishawekwa hapa.
 
hiyo uranium ingeachwa kama ilivyo maana kama intaanza kuchimbwa tutakwisha maana mafisadi wanataka kufaidika hawatojari wananchi wanaathirika vipi.
 
Tayari ni janga Mwali. Nimeona picha (sikumbuki post gani) humu za waathirika wa maeneo ya kwenye migodi ya madini utawaonea huruma wananchi. Wanaharibu vyanzo vya maji, wanamwaga sumu zao ndani ya mito, watu, mifugo, mimea vinaathirika. Bado hivyo vita, na kwa mtindo huu....Mungu apishie mbali!

All these rankings are useless so long we're still having the same generation of rulers who are in control. They are self-centred individuals with myopic vision. It is 100% resource curse in waiting.
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa ..yaani huyo mwenye kupoteza muda kufanya hayo yote nani?labda sio serikali hii

Sie bwana, tunapendaga sifa tu kama kawaida Tanzanite, Kilimanjaro, Serengeti, na mengine mengi, yameleta faida gani sasa? Kuna watu wachache wajanja wajanja hapo wanasubiri kupiga hela. Mbaya haya yote tunayajua but HATUA sasa mhhh...
 
Duuh...katiba mpya lilenililopendekeza,kuwa fisadi yeyote auwawe,na mali zake ziwe za taifa,tuchukue baadhi ya vipengere kutoka katiba ya china ili kulinda rasilimali ya nchi
'vox populi,Vox dei"
 
serikali imepewa kibali cha kuchimba uranium na shirika la umoja wa mataifa lenye dhamana hiyo,ukweli ni kwamba waziri alipokuwa akitangaza bungeni,alitangaza kana kwamba tumepewa ofa ya kujengewa shule na hospitali bure nchi nzima! wanaofuatilia watakubaliana na mimi kwamba nchi chache zinazo chimba uranium zimepatwa na majanga ya kuuguliwa na raia wake...magonjwa kama kansa ya ngozi, matatizo ya figo, mapafu,watoto kuzaliwa viungo vya ajabu (abnormal) vifo kutokana na kuwa exposed mda mrefu..JiPANGENI
 
Kijijini kwangu kijiji chote kimepigwa "X" na wanchi wameambiwa watafute pa kuhamia ili kupisha shughuli za uchimbaji wa uranium. Nadhani wakati wa kupigana vita nchi hii umefika.
 
Ngoja nifanye mishe nipate ya kuwauzia wa Iran ili adhima Yao ikamilike najua watatoa hela ndefu tu
 
eti 'wataalam wetu' wamesema uchimbaji huo hauna madhara.
Tusubire majibu baada ya madhara kutokea.
Hii ni tanzania, uchimbaji uranium bila madhara inawezekana.
 
Back
Top Bottom