Tanzania timu za soka ni mbili tu!!

This is veeery serious!!
Manpowalalmikia marefarii na viongozi wa michezo kwa u-Simba na u- Yanga mnakuwa hamuwatendei haki!!
Duniani watu wanajua Tanzania timu ni mbili tu

1. Simba
2. Yanga

Kama huamini ingia hapa:
Ultimate guide to soccer teams and clubs - Soccerway

Asante kwa kuijali nchi yako

MHESHIMIWA Semesozi,
Sikuamini ulicho andika.
Nikaingia kwenye Website.
Nimegundua umeangalia kwa haraka bila kujiuliza lengo la website hiyo Kuorodhesha SIMBA na YANGA tu.

Kutochunguza kwa makini kunakufanya uwe muongo, kwamba ETI DUNIANI WANAJUA KWAMBA TZ, TIMU NI MBILI TU.

NIKUSAIDIE KIDOGO,
Katika WEBSITE hiyo, wanafanya comparison, kwa timu zilizoshiriki WC QUALIFYING na INTERNATIONAL FRIENDLY MATCHES kwa mwaka 2007 na 2008.

Uko hapo?
 
kona hii huna haja ya kuchambua mambo kwa kina, kwani mwisho wa siku ni jokes tu..:D
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom