Tanzania Tele-University na Tanzania Tele-High School

Ndiyo taifa linakopaswa kuelekea ili kuimarisha utoaji wa elimu nchini na kutoa fursa zaidi kwa watanzania kupata elimu.
 
Tuliwashauri siku nyingi kama watakuwa wameanza ni jambo njema. Naomba utupe taarifa zaidi kuhusu nini UDSM wanafanya katika Tele-Education.

Aiseee ipo bwana UDSM watu tumejiunga kwa wingi hasa Msc IT mwaka huu,ambayo ni intake ya pili,ya kwanza mwaka jana walikuwa wanafunzi watatu tu ,lakini this time wanafunzi 36,kwakweli jamaa wanafundisha vizuri sana! materials mazuri na mpangilio wao uko poa sana, waalimu wao wako fit sana ktk IT ,wanaotufundisha wote ktk semister hii ni maprof nasema hivi sababu najua tatizo la waalimu wa IT Hapa kwetu TZ sijui hata kama tuna prof kweli!, tatizo dogo ni matamshi ya kiingereza ya wahindi inabidi kusikiliza kwa makini lakini hata hivyo wanarecord lectures zote na slide zake so unaweza kusikiliza tena na tena.

Binafsi nimeipenda sana na jamani ombeni kujiunga ili nasi tuwe kama nchi nyingine za africa wamechangamkia kweli,ukiangalia wanyarwanda ni wengi sana wanasoma kozi hii na hata nchi zingine pia!kumbuka hii ni project tu,baada ya muda itapanda sana Bei,kwa sasa IT ni 3.4m kwa miaka miwili unaweza tembelea site yao ili uone na degree zingine nyingi zinatolewa na vyuo vikubwa India nayo ni Welcome to CVL!

 
Back
Top Bottom