ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Kuna ubunifu wa Ajira toka kwa mtafuta Ajira mwenyewe kaka mfano wewe ni mwalimu wa michezo kuna shule nyingi hazina mfumo wa ufundishaji michezo mashuleni unajua kwanini sio mwajiri hajabuni yeye ni mwendeshaji tuu ila wewe unayejua taaluma ya michezo kwanini usiende pale ukaongea na mkuu wa chuo au bodi ya chuo husika kuhusu wazo la kufundisha kuhusu taaluma yako ya kufundisha michezo shuleni hapo? Hapo utakuwa Hujabuni ajira mpya mahali husika tuu??umeongelea UBUNIFU wa ajira! Ubunifu anaufanya mwajiri au anaeomba kazi? Maana hauwezi ku-apply kazi kwenye position ambayo haipo, et kisa unafanya mbunifu..
Vivyo hivyo kwenye maeneo mengine mengi kunahitaji ubunifu wa ajira mpya tuu tutasonga mbele badala ya kusubiri mpaka shule itangaze nafasi za mwalimu wa michezo ndo ukaombe utakuwa umechelewa sana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums